Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Mar 7, 2025 #61 Nedlloyd said: Wahuni ni waajiriwa hao ndio wa kuwasweka ndani. Click to expand...
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Mar 7, 2025 #62 kawombe said: Ndio wasomi w Tanganyika wanavyo patikana. KAZI ni kipimo cha utu Click to expand...
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,004 Reaction score 3,695 Mar 7, 2025 #63 Detective J said: moja ya vyuo vichqhce nchi vinavyofundisha cyber. Nadhan wanafunzi wanafanyia experiments zao hapo hapo How ever nadhani IT admin wao si compentent enough, knowing wanafunzi ni watu wa kujaribu jaribu Click to expand... Hapa umenena, kuna uwezekano baadhi ya vijana wako one step ahead zaidi ya admin au waalimu. Kuna jamaa yangu ana phd ya mambo hayo anafundisha udom kwenye idara ya hayo mambo sijui anajisikiaje akisoma hapa.
Detective J said: moja ya vyuo vichqhce nchi vinavyofundisha cyber. Nadhan wanafunzi wanafanyia experiments zao hapo hapo How ever nadhani IT admin wao si compentent enough, knowing wanafunzi ni watu wa kujaribu jaribu Click to expand... Hapa umenena, kuna uwezekano baadhi ya vijana wako one step ahead zaidi ya admin au waalimu. Kuna jamaa yangu ana phd ya mambo hayo anafundisha udom kwenye idara ya hayo mambo sijui anajisikiaje akisoma hapa.
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 4,412 Reaction score 8,198 Mar 7, 2025 #64 Hao wadukuzi bila kupepesa macho ni kutoka kitovu cha CIVE pale, pale kuna vichwa sio poa..