DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukiwa na hela kila kitu kinawezekana chini ya jua
 
Mtu kama Tarimba unamuona na mihela yake na deals zake mjin unaanza kuhoji elimu yake?

Yaani wewe uliyesoma vizur kabisa na huna hata mia mfukoni di ndio utueleze hiyo elimu uliyonayo ni elimu au uchafu

Watu kama nyinyi ni viazi. Mnatetea upumbavu
 
Ukishaona mtu ni muuza Cocaine, mcheza kamari na mla rushwa hatar Haina haja kuuliza vyeti kama hivi!

Haya yote kayataka mwenyewe, chezea Gwajimaee
 
Nchi ina Sheria za hovyo sana hii, Mdogo wangu ana degree ya Sheria lakini anasukuma bajaji saa hii.

Hao Standard 7 wanaoongozwa na mihemko ndiyo wako wanatunga Sheria huko bungeni.

So sad.
Lahaula lakwata! Sheria hutungwa na wao na kwa lengo fulani. Haya mambo ya kuweka elimu ya Wanene iwe ni kujua kusoma na kuhesabu ndiyo yametufikisha hapa. Tupo Karne ya 21, hili jambo halijaguswa kabisa. Na kwa kutaka kuonekana wasomi, wanashindana kwa udi na uvumba kupata "Udokta". Utasota miaka si chini ya mitano kupata Doctorate, Wanene huupata "Udokta" ndani ya miaka miwili pengine bila hata ya kuingia darasani kwani anakuwa na majukumu mengi ya kutunga Sheria mjengoni, huo muda wa kusoma atautoa wapi?
 
Naona kuna haja ya kufuatilia elimu za watu vizuri kuanzia chekechea hadi Masters +. Uozo wa nchi hii umepitiliza mno.
Tukifukua makaburi watanaki mawaziri tu, atleast hao wengi walikaa darasani na wanajulikana. Ila wabunge wengi madudu yataibuka pale si ya nchi hii
 

Hii nchi inaendeshwa na wajanja wajanja na matapeli matapeli tu. Hivi ilikuwaje mpaka akawa Mkurugenzi wa shirika la Kamali....!? Hivi humo bungeni kuna watu wa maana wangapi.....!!?
 
Hii ni vicious puzzle.
Hutoki.
 
Mbona nimecheki official bunge iko tofauti kidogo.
 
QT 2 in 1 hela ako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…