UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

Mimi nawataka Bayern kwasababu naamini hawa watatupa Arsenal nafasi ya kuucheza mpira wetu, hapatakuwa na fouls nyingi, game mbili zitakuwa tamu balaa...
Bayern uzoefu wa mashindano utawabeba sana, tusijisahaulishe hilo na bayern bado ni timu bora na tishio kwa arsenal. Kwenye hatua hii kinachohitajika ni matokeo mazuri tu hayo maswala ya kuuchezea mpira alafu utoke hayana maana.
 
Hii Arsenal ya sasa hivi inacheza kitimu sana, haimtegemei individual kama enzi hizo za kina Henry, kwa maana hiyo hii Arsenal ya sasa ndio balaa zaidi, kama ikitokea wakabeba hiyo ndoo sitashangaa..
kwa kauli yako hii ya kusema Arsenal hii ni balaa kuliko Arsenal ya kina Denis Bergkamp na Viera ilyobeba ubigwa wa ligi 2003/2004 bila shaka wew kijana mdogo sana
 
Bayern uzoefu wa mashindano utawabeba sana, tusijisahaulishe hilo na bayern bado ni timu bora na tishio kwa arsenal. Kwenye hatua hii kinachohitajika ni matokeo mazuri tu hayo maswala ya kuuchezea mpira alafu utoke hayana maana.
Unaizungumzia Bayern ya miaka iliyopita, simply Bayern ya msimu huu sio wazuri hata wao wanajua hilo, na mpira sio historia.. mpira ni current form, kama utazungumzia current form Arsenal yuko juu ya Bayern, top of EPL, wakati Bayern kaachwa ten points na Beyer Leverkusen.

Heshima unayowapa Bayern ni kwasababu ya miaka ya nyuma, mfano pale walipotutoa mara mbili mfululizo tukiwa wabovu kabisa enzi za Wenger.
 
kwa kauli yako hii ya kusema Arsenal hii ni balaa kuliko Arsenal ya kina Denis Bergkamp na Viera ilyobeba ubigwa wa ligi 2003/2004 bila shaka wew kijana mdogo sana
Arsenal ya sasa inaupiga mwingi, huu ndio ukweli, hata suala la unbeaten kwa sasa usilete kwasababu ushindani ni mkubwa tofauti na miaka ile, leo hii hata timu ya mwisho kwenye msimamo inaweza pata magoli Anfield, Etihad au Emirates.
 
IMG_0286.jpeg
 
Unaizungumzia Bayern ya miaka iliyopita, simply Bayern ya msimu huu sio wazuri hata wao wanajua hilo, na mpira sio historia.. mpira ni current form, kama utazungumzia current form Arsenal yuko juu ya Bayern, top of EPL, wakati Bayern kaachwa ten points na Beyer Leverkusen.

Heshima unayowapa Bayern ni kwasababu ya miaka ya nyuma, mfano pale walipotutoa mara mbili mfululizo tukiwa wabovu kabisa enzi za Wenger.
Mkuu usinichekeshe, nafasi aliyopo bayern kwa ligi yao sio ya kubeza kabisa. Sisi nafasi tuliyopo tunatofautiana point ngapi na anaetufuatia? Msimu uliopita ilikuaje kwetu?

Bayern kwenye ligi ameshajikatia tamaa ila sio huku kwenye UEFA, timu ambayo aggregate iliwahi kusoma 10 goals sio ya kuichukulia poa ata kama inapitia kipindi kigumu.

Arsenal tuna mlima wa kupanda kuitoa bayern, kwangu uwezi nishawishi niamini kuwa atletico ni mgumu kuliko bayern.
 
Ukizingatia wakati huo Kingsley Coman na Serge Jinabry watakuwa wameshapona.
 
Back
Top Bottom