Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mkuu, tunasema kuweka hela tusubiri 16 hauaminiNilicheza live, home under 1.5
Ma.m.ae Antonio Silva kamkwatua mtu.
Kidogo iwe 3Kambaaaaaaaaaa
Georgia 2 : 0 warembo wa kireno
Nimeliwa hela 10k x3Stupid
Niliamini 96% Georgia hawezi pata tena goli kwa moto ule aliokuwa anaupokea.Ila mkuu, tunasema kuweka hela tusubiri 16 hauamini
Cheza Copa America [emoji23][emoji1787]Niliamini 96% Georgia hawezi pata tena goli kwa moto ule aliokuwa anaupokea.
Hii Euro inafilisi
Copa America uhuni mtupu. Hakuna magoli.Cheza Copa America [emoji23][emoji1787]
Amepumzisha key players woteKikosi Cha Portugal Ni tofauti kabisa
Kikosi Cha kwanza wamepumzishwa.Mbona bruno sijamuona hata kwenye sub leo ana kadi?