UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Itakuwa ni aibu kubwa Mtu tegemezi wa Timu anachezea maligi ya Jangwani huko alafu abebe euro, Piga piga nasema piga Georgia, na 16 bora Portugal wanatolewa.

Kombe ni la Ufaransa hili kama hutaki usiangalie Euro.
 
Back
Top Bottom