Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24


View: https://youtu.be/fx_-bHVh-T8?si=kck1EbH2mENmXYwdHapa tulikua tunatofautiana kwa kile ambacho mimi najua kinatumika nawewe ambacho unajua kinatumika,kama unakumbuka mwezi july ndio ilitoka iyo ranks ya Simba kuwa wa 7 ndio ni kawa natumia jinsi imekuaje kuaje,,,kutofautina ni jambo la kawaida embu mcheki huyu mchambuzi naye anaamini ninacho amini nenda you tube andika

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 

View: https://youtu.be/fx_-bHVh-T8?si=kck1EbH2mENmXYwd
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Huyo na wewe hamna utofauti katika uelewa. Kuna scenario mbili inawezekana yeye na wewe hamkuelewa au pengine wewe hukumuelewa yeye. Sina haja ya kumsikiliza kwasababu nachoongea nina uhakika nacho na nina evidence za kitosha juu ya msimamo wangu.

Simba anakaa nafasi ya saba katika kwasababu wenye nafasi zao ambaye ni Berkane na Raja hawashiriki katika klabu bingwa msimu huu. Ila rank ya ujumla Simba ni 9. Na ile rank uliyokuwa unaonesha wewe muda ule ni assumption kwaajili ya michuano ya mwaka 2024/2025 ambapo umeona Simba ni ya 7 na hii ndio scenario ya pili ambayo nilikwambia pale juu.
 
Natamani simba na galaxy wawe kundi moja
 
Ngoja niongeze nyama

 
Hapo mwiba kwa timu zetu za Simba na Yanga ni Mamelodi Sundowns na Etoile du Sahel, Timu itakayopangiwa na hawa kundi moja itakuwa na shughuli nzito sana.

Al Ahly, Wydad na Esperance de Tunis huwa wanafungika ugenini. Mamelodi na Etoile du Sahel ni moja ya timu zenye rekodi nzuri sana viwanja vya ugenini. Hizi sio timu za kukaa nazo kundi moja.
 
Haitakuwa afya kwa timu zilizotoka nchi moja kupangiwa group moja, mfano Egypt Al Ahly na Parymid, Tunisia Esperance na Etoile De Sahil, Tanzania Young Africans na Simba.
 
Haitakuwa afya kwa timu zilizotoka nchi moja kupangiwa group moja, mfano Egypt Al Ahly na Parymid, Tunisia Esperance na Etoile De Sahil, Tanzania Young Africans na Simba.
Katika hatua za preliminaries, huwa wanazingatia hilo, na ikitokea draw imetoa matokeo ambayo yatazikutanisha timu za nchi moja katika raundi ya kwanza, huwa inarudiwa ili kuzipishanisha. Katika hatua ya makundi, huwa hawazingatii hilo na hawajali timu mbili kuwapo katika group moja, isipokuwa ikitokea timu zaidi ya mbili ndipo inazingatiwa
 
Ok sawa
 
Nafikiri Pot 3, Pyramids ni debutant kwenye champions league na sidhani kama anamzidi Points TP Mazembe

Sizani kama kama unafikilia au mpira umeanza kuuona juzi ndani ya miaka sita pyramid kacheza fainal tatu au mbili za ccfcl na amefika nusu fainal kadhaa huko sasa sijui unongelea kwa mihemuko naznai utakuwa shabiki wa utopol bac iweke utopol hapo ufurahi na moyo wako
 
Mpaka kufika mwezi Dec hizi ngebe za utani dhidi ya Yanga zitakua zimeisha. Oooh usidhani huku ni shirikisho, ooh huku kwa wakubwa, ooh huku hakuna vibonde. Sasa nasemaje tutaelewana tu, Yanga iko kuwaprove wrong vishokomzobe vyenye ubingwa wa robo fainali kila msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…