Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Zamalek yupo chini ya simba misimu karibia mi 5 hatoboi kwenda robo points anapata wapi? Chukua miaka mi 5 ya mwisho ndio ujue usikaririAliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisa
1) Al Ahly
2) Wydad
3)Es Tunis
4) Mamelod
5)Raja
6)Zamalek
7)Berkane
8) Belouizdad
9) Simba
Kuhesabu sasa tunaanzia points za mwaka kuanzia 2019/2020 ya nyuma yote tunazifuta,kuanzia hapo simba kafanya vizuri kuliko zamalek changauleAliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisa
1) Al Ahly
2) Wydad
3)Es Tunis
4) Mamelod
5)Raja
6)Zamalek
7)Berkane
8) Belouizdad
9) Simba
Pitia hapo, angalia club ranking for 2023/2024 club season ( ndio msimu tuliopo sasa)Kuhesabu sasa tunaanzia points za mwaka kuanzia 2019/2020 ya nyuma yote tunazifuta,kuanzia hapo simba kafanya vizuri kuliko zamalek changaule
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kitu ambacho umechanganya ni msimu wa 2018/19 kwa sasa haupo maana haya mashindano mapya ukirudi 2018 inakua misimu 6 ambayo ni kinyume,usiwafate hao wikpedia anza kuhesabu tu mwenyewePitia hapo, angalia club ranking for 2023/2024 club season ( ndio msimu tuliopo sasa)
Mkuu wao kazi yao ni kuchukua takwimu kwa kila aina ya mchezo. Na wao wana deal na performance. Kwahiyo wanachoweka wao ni overall performance. Timu ikifanya vizuri kimataifa na nyumbani hafanyi vizuri maanake kwenye mizani ya performance anakuwa amepungua, na timu ikifanya nyumbani vizuri halafu kimataifa hakufanya vyema nae hivyo hivyo. Wanachukua record ya kila kitu idadi ya mechi ulizoshinda, magoli, clean sheet, n.kSi ndiyo maana nikaiita rank ya mchongo, unalinganisha timu za kimataifa kwa kuangalia matokeo ya mechi za ndani, badala ya matokeo ya mechi za kimataifa
Simba sasa ina points 24 hadi sasaPitia hapo, angalia club ranking for 2023/2024 club season ( ndio msimu tuliopo sasa)
Mungu ajaalie iwe hivyo.Naiona Kariakoo derby
Mkuu kuna kitu haujakielewa. Ipo hivi, kwasasa tupo msimu mpya wa 2023/2024 na ndio anatafutwa bingwa wa msimu wa 2023/2024 hivyo rank inayotumika kwa msimu huu ni kwanzia msimu wa mwaka jana kurudi nyuma misimu mitanoKitu ambacho umechanganya ni msimu wa 2018/19 kwa sasa haupo maana haya mashindano mapya ukirudi 2018 inakua misimu 6 ambayo ni kinyume,usiwafate hao wikpedia anza kuhesabu tu mwenyewe
18/19
19/20
20/21
21/22
22/23 ???
23/24
Unaona hapo ni misimu 6 kwaio kwa points na ranks za caf ili zitumike wataanzia 19/20 na huu 23/24 inakua mi 5
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mbona imeeleza vizuriPitia hapo, angalia club ranking for 2023/2024 club season ( ndio msimu tuliopo sasa)
Point za msimu huu hazitumiki hapa na hazitatumika kwa mashindano ya msimu huu ni kwaajili ya michuano ya msimu ujao
Mbona wameelezea vizuri na ndio hii katika watu makini wa Utopolo wewe ni mmoja wapo, usiingie katika mkumbo,,,hii source yako imeelezea labda haujaifungua vizuri na nime attach apo uliyotakiwa uioneMkuu kuna kitu haujakielewa. Ipo hivi, kwasasa tupo msimu mpya wa 2023/2024 na ndio anatafutwa bingwa wa msimu wa 2023/2024 hivyo rank inayotumika kwa msimu huu ni kwanzia msimu wa mwaka jana kurudi nyuma misimu mitano
1) 2022/2023
2) 2021/2022
3) 2020/2021
4) 2019/2020
5) 2018/2019
Baada ya msimu huu kuisha tutakuwa na rank mpya itakayotoa muongozo kwa msimu mpya wa 2024/2025 ambapo tutahesabu kwanzia msimu wa 2023/2024 kurudi nyuma misimu mitano ambapo itakuwa;
1) 2023/2024
2) 2022/2023
3) 2021/2022
4) 2020/2021
5) 2019/2020
De agosto kapigwa 2-1Ondoa Al- Hilal weka 1° de Agosto.
Unapokesea wewe ni hapo hiyo rank ni assumption ya msimu mpya wa 2024/2025 na ndio kwanza timu zipo group stage na haijulikani msimu huu wa 2023/2024 timu zitavuna kipiMbona wameelezea vizuri na ndio hii katika watu makini wa Utopolo wewe ni mmoja wapo, usiingie katika mkumbo,,,hii source yako imeelezea labda haujaifungua vizuri na nime attach apo uliyotakiwa uioneView attachment 2769057
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri hiyo ni rank ya kubunia kwaajili ya msimu wa mwakani wakati hata matokeo ya msimu huu bado. Nenda walipoandika club ranking for 2023/2024 club seasonMbona wameelezea vizuri na ndio hii katika watu makini wa Utopolo wewe ni mmoja wapo, usiingie katika mkumbo,,,hii source yako imeelezea labda haujaifungua vizuri na nime attach apo uliyotakiwa uioneView attachment 2769057
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi.
Sio ya kubuni shida hauelewi au sijui utaki kuonekana umeshindwa hoja,msimu wa 18/19 washautoa na vizidishio washavitoa ndomana simba nae points zmepungua zmekua 24 sio 35 lama msimu 2022/23Soma vizuri hiyo ni rank ya kubunia kwaajili ya msimu wa mwakani wakati hata matokeo ya msimu huu bado. Nenda walipoandika club ranking for 2023/2024 club season
Umeona hiyo from 2019 source ilivyosema,? Usishupaze shingo ukawa kama utopolo wenzako ambao tunawajua jinsi walivyo humu jukwaaniUnapokesea wewe ni hapo hiyo rank ni assumption ya msimu mpya wa 2024/2025 na ndio kwanza timu zipo group stage na haijulikani msimu huu wa 2023/2024 timu zitavuna kipiView attachment 2769060
Mkuu hivi tatizo ni lugha au ni nini kinachokuchanganya?Umeona hiyo from 2019 source ilivyosema,? Usishupaze shingo ukawa kama utopolo wenzako ambao tunawajua jinsi walivyo humu jukwaani
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app