Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

fala wewe acha uongo
Acha kumtukana MTU usiye mfahamu unakosa ustarabu kwenye forum kama hii shame on you

Hafu how sure are you anachosema ni uongo??

MTU anahitaji explanation we unaleta matusi watu kama wewe sijui mnafanya nini jamii forum has a jukwaa hili ungeenda jukwaa LA entertainment huko pangekufaa
 
Mkuu yaani vijana wengine ndivyo walivyo ndiyo malezi waliyo yapata hakuna jinsi ni wakuhurumiwa tu.
 
jua linaangaza sehem kubwa ya nchi icho ulichokiona lazima kingeonwa na wengi. imekuaje umeona pekeyako.
 
Ninaishi mkoa wa pwani
Hapa ilipotokea ni maeneo ya mpakani kati ya mwanalugali na Boko timiza katika halmashauri ya kibaha mjini

HABARI,
"impongo,
Mimi nakushauri kama ni kweli basi inawezekana hata miili yenu ina miyonzi ya hicho kitu kilichowatokea mkipimwa na vifaa maalumu vitaonyesha ngoja nifikirie nitarudi tena.

LUMUMBA
 
jua linaangaza sehem kubwa ya nchi icho ulichokiona lazima kingeonwa na wengi. imekuaje umeona pekeyako.
Mkuu sikuona peke yangu ni watu wengi hivi sasa nipo kagera huku kuna watu wanadai waliona kitu kama hicho nilichoona
 
Ni ukweli kitu Kama hicho kilitokea nami pia nilishuhudia dhahiri shahiri nikiwa Geita, in short anachokisema impongo ni ukweli mtupu na wala haongopi ata chembe.
 
Bila watu kama nyie Bangi isingepigwa Vita na jamii
 
Back
Top Bottom