Only 1 Lady
Member
- Mar 2, 2018
- 21
- 5
Nashangaa hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa hii
Mdogo wangu usiwe hivyo hoja hupingwa Kwa hoja si Matusi hii inakushushia hadhi pale utakapokuwa na shida inayohusiana na mtufala wewe acha uongo
mjuze tu mkuuNaomba kukujua zaidi.
Kama hutajali.
mmmmUlivuta bangi tu ikakuzingua. Hiyo ni hali ya kawaida kwa mabadiliko ya sasa hivi
Acha kumtukana MTU usiye mfahamu unakosa ustarabu kwenye forum kama hii shame on youfala wewe acha uongo
pamoja mkuuSawa mkuu Leo nipo mkoa nikiludi mjini nitaweka camera kwa ushahid
Mkuu yaani vijana wengine ndivyo walivyo ndiyo malezi waliyo yapata hakuna jinsi ni wakuhurumiwa tu.Acha kumtukana MTU usiye mfahamu unakosa ustarabu kwenye forum kama hii shame on you
Hafu how sure are you anachosema ni uongo??
MTU anahitaji explanation we unaleta matusi watu kama wewe sijui mnafanya nini jamii forum has a jukwaa hili ungeenda jukwaa LA entertainment huko pangekufaa
jambo ulilolisema linachochea udadisi lakini wewe umeweka kirahisi tu na picha za uongo zisizofanana na ulichoonaMkuu hii ni picha ya Jua (sun) huwa sioni tundu lolote hapo.
ni la nyumbani kwao mkuu tena lipo sebuleni.jua linaangaza sehem kubwa ya nchi icho ulichokiona lazima kingeonwa na wengi. imekuaje umeona pekeyako.
Ninaishi mkoa wa pwani
Hapa ilipotokea ni maeneo ya mpakani kati ya mwanalugali na Boko timiza katika halmashauri ya kibaha mjini
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀mi nawaza tu watoto wako walivyokuona umelala chali juani na mamiwani ya kuchomelea......
hahaaaaami nawaza tu watoto wako walivyokuona umelala chali juani na mamiwani ya kuchomelea......