Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Hujui lolote kuhusu uzalendo wala kinachoendelea kunduchi beach na ununi na kawe. Nakushauri ufike hapo ujionee. Unanishauri kitu ninachokipna na kukijua kila siku?huo ni unafiki tu gentleman, ambao ni wa kupuuzwa,
mindset yako ina mawenge ya kuibiwa usichokua nacho.
nadhan unaelekea pabaya saikolojikali π
Warioba haheshimiki leo ila aliheshimika wakati wa tume ya rushwa na ile y mabadiliko ya katiba?mrangi acha upotoshaji gentleman,
unaheshimika sana humu jukwaani but unakua kama warioba bana dah π
maeneo yote uliyoyataja hali ya kiusalama ni shwari, hakuna uhalifu wala ukiukaji wa sheria eneo hilo, na kwahiyo hakuna haja ya yeyote kwenda sijui kufanya nini.Hujui lolote kuhusu uzalendo wala kinachoendelea kunduchi beach na ununi na kawe. Nakushauri ufike hapo ujionee. Unanishauri kitu ninachokipna na kukijua kila siku?
Haha expansion of joints?Labda yalipenya bandarini
ni muhimu kumpuuza tu na itapendeza zaid πWarioba haheshimiki leo ila aliheshimika wakati wa tume ya rushwa na ile y mabadiliko ya katiba?
Kwakuwa haheshimiki ndo maana alinyimwa hata ukumbi wa kufanyia mkutano wake na wanahabari pale KMC?
UNAFIKI KITU KIBAYA SANA
Sasa kama ni salama kwann maafisa wa serikali walishambuliwa? Unajua maana ya usalama kweli wewe?maeneo yote uliyoyataja hali ya kiusalama ni shwari, hakuna uhalifu wala ukiukaji wa sheria eneo hilo, na kwahiyo hakuna haja ya yeyote kwenda sijui kufanya nini.
Kama taifa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa salama, na maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025 yameanza.
Kwa Neema na Baraka za Mungu nao utafanyika kwa amani π
ni bandits wahalifu waliojiahami kwa silaha ndiyo waliofanya uhalifu huo πSasa kama ni salama kwann maafisa wa serikali walishambuliwa? Unajua maana ya usalama kweli wewe?
Sasa mimi na wewe nani mbumbumbu??? Kasome taarifa yao kama inasema maafisa wa TRA waliambatana na Polisi au walikuwa pekeyao?We jamaa ni mbumbumbu, TRA hawana Mamlaka ya Kukamata, wakitaka kukamata ni lazima washirikiane na polisi
duh hebu funguka kidogo..kwamba btn k'nduchi ba b'moyo kipi huwa kinajiri huko chenye migao?Acheni kuweweseka yanayotokea kati ya Kunduchi na bagamoyo yote mnayajua. Wamewahi leo baada ya kushindwana migao?
Bongo yetu si unaijua mkuuMagendo yapo kibao hapa Nyamisati na mpaka Mkuu wa TRA wa Mkoa na Wilaya nilishawapa taarifa,na hata dii.es.oo anajua hiki,ila hakuna kitu kimefanyika.
Ndiyo hayo Sasa yashatokea kwenye kwamba wanakamata mda wowote. Kwanini wangoje usiku. Na kwanini msichukue gari mpaka mfanye ambushi na hekaheka kwa mwenye gari?. Naandika kwa herufi kubwa muelewe.KATIKA MAISHA YENU YAUTEKAJI OGOPA SANA MWANADAMU ANAYEJUA KIFUATACHO NI KIFO TU HAPA. NA RAIA KUJUA MWEZETU TUKIMUACHIA ANAENDA KUUWAWA NA AWA WALIOKUJA KUMCHUKIA NI WAUWAJI KINACHOFUATA NI HAMA ZAO HAMA ZETU.Hii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, wapelelezi, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.
Unaishi nchi gani gentlemanmrangi acha upotoshaji gentleman,
unaheshimika sana humu jukwaani but unakua kama warioba bana dah π
nadhani ndugu huajelewa. Kwa taarifa iliyotolewa walikuwa wapo katika kudhibiti magendo na ndipo walikutana na gari ambalo walihsii kabisa ni moja ya gari zilizoingia kinyemela na inaonekana nia yao ni kutaka kuthibitisha ndipo walipofikiriwa vingine. Haya magari unaweza kuta hata namba siyo zake na wanabadili ili kutojulikana kama ni gari zilizoingia kinyemela na pengine walitumia mitambo yao na kuona usajili haukuwa sawa wa gari ndipo walipoamua kulifata.Sheria nimesoma wanayo ya kukamata kwa makosa kama hayoKama gari mnaijua na ina usajili kwanini msimuite mwenye nayo atoe nyaraka za gari yake? Inakuwaje mnaanza kufuatilia mtu tena usiku?
Nyie ni polisi?
Je mna mamlaka ya kumfuatilia mtu na kumkamata au kukamata mali yake bila kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama?
Hayo yote mmeyataka kwakuwa hali ya usalama wa raia nchini imedhoofu kiasi kwamba sasa raia ni lazima kuwa vigilant la sivyo ni kutekwa na kuuwawa tu.
Wafanyakazi wenu mnatakiwa muwape barua ya onyo kwa kuwa negligent. Wameshindwa kusoma alama za nyakati.