Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Kutoka kunduchi pwani hadi bagamoyo kuna bandari babu nyingi sana. Pale kunduchi ni kama makao makuu. Madumu ya mafuta, sukari nk vinapitishwa hadi kwa magendo hadi aibu. Tena aibu kubwa kabisa. Polisi wanajua, TRA wanajua na hata huyo waziri anajua na mgao unamfikia.
Rc wa DSM bwana chalamila amekaa kwa muda mrefu sana TEGETA anajua hii michezo yote. Juzi hapa alipeleka mpaka JWTZ pale kumbe nia yake ilikuwa kuingizwa kwenye mgao. Alipopata mgao akanyamaza na biashara ikaendelea
Gari zilizo shambuliwa tegeta zilikuwa zinatoka doria mbweni au kunduchi.
Inakuaje mbweni kuna kambi ya Jeshi na usalama wa taifa kisha magendo yapitie mbweni hukohuko?
Pale TRA Kuna kijana anahusika sana kwenye hizi task force sitamtaja hapa ila wakati ukifika nitamtaja
Aibu kubwa sana kwa mamlaka, wanachojua wao ni kuteka na kuua tu?
 
Bandari yetu Kunduchi iacheni wazee sisi tunaishi kupitia pale wazee acheni kabisa
 
Ilisajiriwa vipi hii gari?
 
Watumishi hata Majina hamtaki.kuwataja kwa kuheshimy wajibu wao na ujasiri wa kuitumikia Taifa?
 
Mission was Incomplete😅😅
 
acha upotoshaji gentleman 🐒
 
Acheni kuweweseka yanayotokea kati ya Kunduchi na bagamoyo yote mnayajua. Wamewahi leo baada ya kushindwana migao?
 
Pumbavu kabisa ninyi!
Tume ya haki jinai ilitoa mapendekezo ambayo mheshimiwa Rais alisema sasa ni sheria yafuatwe!
Pendekezo mojawapo likiwa ni kuwa mamlaka yoyote ya ukamataji ikitaka kufanya ukamataji lazima ishirikiane na jeshi la polisi, kwa maana mlitakiwa kuwa na askari polisi wenye silaha na wakiwa ndani ya uniform ili kufanikisha kazi!
Kwa kuwa ninyi nyote ni wapenda r^shwa mnajiongeza ili kupiga hela mnataka muwe wachache ili pesa isigawanywe kwa mikono mingine, u got what u deserved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…