Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Lotion gani na perfume gani nzuri kwa mwanaume? Isiwe inanukia sana yaan iwe ya kawaida na yenye harufu nzuri. Na kwa mwanamke? Nahitaji kumchukulia wifi yako? Ya wifi yako isiwe ya kuchubua au kubadilisha ngozi yaan imfanye awe ana ngozi nyororoshukrani
Unaishi wapi? Na bajeti yako ikoje?Lotion gani na perfume gani nzuri kwa mwanaume? Isiwe inanukia sana yaan iwe ya kawaida na yenye harufu nzuri. Na kwa mwanamke? Nahitaji kumchukulia wifi yako? Ya wifi yako isiwe ya kuchubua au kubadilisha ngozi yaan imfanye awe ana ngozi nyororo
Unaishi wapi?na bajeti yako ikoje,?
Maviatu kama yale ya mgamboArusha Mzunguko wa Pesa Uko Vizuri! Hujakosea Kuleta Biashara Yako Hapa Arusha.
Ila, Uende Umevaa BONGE LA KIATU, maana Arusha kwa kupenda misifa ya kuvaa MAVIATU, hawajambo.
Mkuu usiseme mimi nauzoefu na biashara.Tatizo wafanyabiashara wagumu sana kama wavuvi. Mtu anajua bidhaa fulani itaexpire baada ya mwezi mmoja lkn utakuta anauza bei ile ile. Kwann usifanye punguzo kwa bidhaa ambazo zimebaki mwezi mmoja kuisha matumizi? Hii itasaidia kurudisha fedha yako angalau kidogo. Km lotion inauzwa 10,000 unafanya hata 5,000
Msaidie ktk hoja aliyoiweka ubaoni, biashara ya hereni, cheni , Pete! Hajasema anataka Raba za kuvalia jeans!Njoo nkuuzie raba simple za kumetisha na jeans kwa bei poa kabixa ya sh 4500 kwa pc ukauze mtaani kuanzia 10,000 na zinatoka bila taabu
Wauzaji wa biashara hii wengi wao ni wabinafsi! Hawataki kufunguka machimbo yao, wanajua tutakuwa wengi kumbe Tanzania ni kubwa, kila MTU ataenda kuuzia anapopajua yeye! Wengi wanaficha information watakwambia mzigo unapatikana China ili kukukatisha tamaa mwenye mtaji mdogo wa mil 1. Ila naskia wanachukulia Uganda ingawa sina uhakika!Wauzaji wa hii Biashara mbona hamna ushirikiano,msaada pls
Namba yako ya wasap nione sample.Njoo nkuuzie raba simple za kumetisha na jeans kwa bei poa kabixa ya sh 4500 kwa pc ukauze mtaani kuanzia 10,000 na zinatoka bila taabu
Kwa mtaji huo, usisafiri. Fata mzigo Kariakoo mtaa wa sikukuuu kuna maduka ya wahindi ya jumla, ila sijawah fanya hii biznesss.Wauzaji wa hii Biashara mbona hamna ushirikiano,msaada pls
Msaada wangu mimi niushauri tu.Naomba mwenywe uelewa na biashara hii anipe dondoo nataki kufungua kibanda mtaji nilionao ni million1 nifikiri kufata mzigo Uganda japo sijawai kufika, wala cjui maduka pamoja na bei za huko na je nilileta mzigo inalipa mm npo mwanza, msaada wenu
Ni wazo zuri lakini lazima kwanza usajili biashara yako na pia uzingatie mahali ambapo unapotaka kuanzisha hiyo biashara.Habari wakuu leo nimeona nahitaji msaada wa mawozo nimepata ushauri mtaani nikaona nafamilia yangu ya JF kuna wenye uelewa pia.Nina mdogo wangu amemaliza chuo yupo home na mother bi mkubwa yupo kikazi singida mjini nafikilia kufungua biashara yy asimamie pamoja na b mkubwa naomba nifahamu mtaji wa kuanza nao. Pia vitu gani vya kuangalia ktk biashara hiyo mambo ya tin yanafahamika ushauri wenu plz.
Mwenzangu na mm ambaye unajijua hufahamu kitu utulie.
Nategemea mawazo yenu ili kuweza kulifanikisha hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusajili biashara ni jambo la lazima asante kwa kunikumbusha eneo la biashara.Ni wazo zuri lakini lazima kwanza usajili biashara yako na pia uzingatie mahali ambapo unapotaka kuanzisha hiyo biashara...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ndugu nitakuchekiNi wazo zuri jaribu sana kuzingatia
i. Bidhaa zinazohitajika kwa sana mahali hapo
ii. Huyo dogo ana uzoefu wa kusimamia biashara?
iii. Je nidhamu ya fedha anayo?
iv. Biashara na ndugu siku zote asilimia za kuendelea ni ndogo sana ivyo uwe unafuatilia kwa karibu sana
v. Pia kuna bidhaa ambazo zinapigwa vita kuuzwa kwenye maduka ya vipodozi jaribu kuzingatia ilo pia
vi. Pia isajili biashara yako (Jina la biashara-BRELA)
vii. Pia mtoa huduma awe na kauli nzuri kwa wateja
viii. Pia jaribu kuwa na mpango kazi hili ukuongoze katika biashara yako
Hayo ni machache tu ya kuzingatia na mengine wadau watakuja nayo
Karibu sana
Kwa ushauri zaidi usisite kutembelea www.fbctz.co.tz
Mawasiliano: 0746905773/ 0763954509