UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

Rais haendi kusali wala kuswali. Anapokuwa na dini tayari Huyo ni Samia. Mbali ya lugha yako mbovu lakini umeshindwa kufafanua ulimaakisha nini.
Pole kwa kukwazika, ila sikuwa na neno zuri zaidi kueleza upumbavu ulio kwenye maswali yako yale.

Nakuahidi nikipata nitakuja kuhariri ‘post’ yangu ile.

Ewaa kumbe umenielewa,
 
kanisa ni sehem ya kufanyia hafla ? mnafanyiaga hafla msikitin ? tangu nmekua sijawao ona hafla kanisani
 
Vizuri sana mkuu, sasa ni hivi

Nyerere alikwenda kufanya ibada yake binafsi (hakuna haja ya kiti)
Samia amekwenda kama Rais wa Watanzania wote maana binafsi yake ni muislam na ibada za kikristo hazimuhusu.
 
Samahani mkuu kwa kujua hili! Sina maana mbaya ila tambua lazima nyerere aenziwe kanisani kwa vile ndie aliyeupigania vita ukatoliki hapa Tanzania mpaka ukasambaa kila kona ..sina maana mbaya ila nakupa sababu tu..
duh hii ccm ya akina kikwete na kinana na huyu mpaka wanja wameingia ccm , enz za mkapa ?wavaa kobaz mna ttzo la kiakil ndo mlikuwa mnasema nchi inaendeshwa kikafir wkt rais alikuwa kikwete [emoji16]
 
duh hii ccm ya akina kikwete na kinana na huyu mpaka wanja wameingia ccm , enz za mkapa ?wavaa kobaz mna ttzo la kiakil ndo mlikuwa mnasema nchi inaendeshwa kikafir wkt rais alikuwa kikwete [emoji16]
Sijaongelea kwa chuki naona una chuki kweny kifua chako
 
kwann aingie na kiti kanisan ndo kebehi ? je siku rais mkristu akiingia na kapeti yake msikitin akaa pekee yake , je waislam mtamuelewaj ?
Kile kiti si cha Samia, ni cha Rais.

Kwa bahati nzuri au mbaya hatuna kapeti la Rais. Lingekuwepo basi lingeingia msikitini kama kungekuwa na shughuli ya kiserikali huko.
 
DHARAU NDO HOJA , WAVAA KOBAZ WANAFURAI ILA HAWAJUI KESHO ITAKUWA ZAMU YAO , BADALA YA KUKEMEA TABIA HII WAO WANAFURAI., NAKUMBUKA HUKO.AFRIKA YA KATI TOFAUT ZAO ZILIANZA HV HV VITU VDG ILA VINAZAA TOFAUT KUBWA
 
kanisa ni sehem ya kufanyia hafla ? mnafanyiaga hafla msikitin ? tangu nmekua sijawao ona hafla kanisani
😂😂😂😂Ndoa na kumuombea maiti hufanyika wapi? Kipaimara sijui nn yapo mambo kibao yanfanyika punguza chuki njoo kweny logic tutaelewana ..mpaka sherehe za mwka mpya mkesha unafanyika kanisani ninapokaa Kuna makanisa matatu najua yote, haya bisha
 
unahisi kanisan ni sehem ya kuhutunia taifa au kupiga kampen ? wazee wa buku 2 za lumumb akil zenu ni kisoda , swala la kuingia kanisan / msikitin hupasw kuleta taratib zako za kidunia lzm uheshimu taratib za nyumba husika ya ibada
Mkuu ungejibu swali kwanza
Kikwete na Mzee mwinyi waliingia kanisani bila kiti kwenye shughuli gani?
(Kama hauna rejea usione haya kukiri)

Halafu kile kiti kimevunja utaratibu upi kikanisa? Au hairuhusiwi kuingizi viti kanisani tofauti na vile ambavyo tayari vipo?
 
Umesema kitu ambacho ni cha uongo, raisi kuingia na kiti au kukalia bench ni uamuzi wake wala hakuna mahusiano na unayosema. Na sioni issue aingie na kiti au akalie bench. Ameshawahi kuingia kanisani na kukaa kwenye mabench
Picha chini hapa akiwa kanisani kwenye bench
 
Nmaona hakuna haja ya kuendelea na mjadala katika muelekeo huu, nikuache kama ulivyo, nitoe nafasi kwa wengine kutoa maoni yao kwa kulingana na kiini cha uzi. Uwe na wakati mwema.
Binafsi sikutaka mjadala kama haujaridhia basi Haina kubishana 🙏🙏
 
Utueleze hapa, amepambania kwa namna gani kabla ya kipindi hicho kiasi cha kupelekea ukatoliki kuenea kila kona kama ulivoainisha hapo juu.
Naona kama unahisi mi nataka mjadala kasome historia ya ukatoliki Tanzania utajua.
 
Umetoka nje ya Muktadha, Kiti kimeharibu utaratibu gani wa kanisa?
Huo utaratibu unaharibiwaje ilhali padri (kiongozi wa kanisa) aliridhia?

Halafu SIASA maana yake nyepesi ni Nani anapata nini wakati gani.
 
Kama ni msemaji wa raisi jitambulishe, vinginevyo huna mamlaka ya kufanya haya unayoyafanya.
 
Nyerere amepambania ukatoliki kabla ya hapo elewe hiyo inatambulika na mchango wake ni mkubwa sana huku kuenziwa Haina shida .
misikit ndo inaanza kuingia huko bara ndan ndan ila babu yangu mkubwa kwa Nyerere alikuwa rc na ukoo wao wote walikuwa rc , waislam misikitin mnadanganya sana , mlikuwa hamjasoma na mlitaka muwepo kwenye serikali , tena Nyerere ndo kawalea sana waislam na ndio kawaingiza sana kwenye system ili atawale kwa muda mrefu maana waislam wengi km akina Kawawa walikuwa kichwan zero darasa la 3 huku mtu pekee mbantu kbs mwenye rank ya Sir George Kahama na wasomi wengine wakristu km akina Kambona ( nimepata bahat ya kuongea na huyu mzee , mjukuu wake nmekua nae ) wakipelekwa ubalozin nje wasiwepo nchin wasije pata ushawish wakamtoa Nyerere madarakan , WAVAA KOBAZ MUHESHIMUN SANA NYERERE MAANA SOKOINE / KAMBONA HAKUWA ANA SHOBO NA WAVAA KOBAZ , KIPO KIPIND WALILALAMIKA KAMA WW AKAWAOMBA WAFANYE SENSA YA WAFANYAKAZ WA NGAZ YA JUU WALIKUKA KUMKUTA YEYE NA SIR GEORGE KAHAMA NDO RC WENGINE WOTE DINI NA MADHEHEB MENGINE
 
Huwa kuna gari maalum la kubeba viti na carpets
kwahiyo ishakuwa rasmi kuingia na viti hata msikitin kisa yapo magar yanabeba hiko kiti , si ndio ?
 
Vizuri mkuu, kwakuwa aliwahi ingia na kukaa kwenye benchi je inatosha kusema safari hii kafanya dharau?

Au unaielezeaje tafsiri ya kufanya hivyo?
 
Chuki za nn ?😂😂😂uliulizwa babu yako kakudanganya kabisa hakuna kitu kma hata mfumo wa namba kwa nn uliletwa na kigoma malima mlikuwa mnafelisha waislamu ...na mitihani yenu ya kuiba mpaka leo nchi haijaendelea unajua kwa nn nyie hamna elimu Sema mmekariri


Na elimu ya babu yako ni zero Haina kitu kwa sasa elewa kuwa na akili ...hamna kitu mmefanya mnashidnwa na Dubai iliyokuwa jangwa ...mafala tu mmelera ujuaji akili hamna zaidi mlikuwa wezi tu ila akili ya kuendesha nchi hamna elimu gani ya uwizi hamjitambui ..babu yako ni zero alikuwa anajua kingereza sio kwamba ana elimu
 
Kama ni msemaji wa raisi jitambulishe, vinginevyo huna mamlaka ya kufanya haya unayoyafanya.
Unafahamu nini kuhusu Uhuru wa kujieleza bila kuvunja sheria?

Au unadhani unaweza mpangia mtu aseme nini na nini asiseme? We ni nani wa kufanya hivyo? Mwanasheria? Hakimu? Polisi?

Nakukumbusha, Tulipata uhuru mwaka 1961.
Mbona unakuwa na mawazo haya Mkuu?
 
Vizuri mkuu, kwakuwa aliwahi ingia na kukaa kwenye benchi je inatosha kusema safari hii kafanya dharau?

Au unaielezeaje tafsiri ya kufanya hivyo?
Umeelewa nilichoandika? Mimi kwangu sioni issue yoyote aingie na kiti au akalie bench. Ila ninakataa hizi sababu zako kwa kuwa ameshawahi kuingia kanisani na kukalia bench Kama hapo nilivyokuonyesha kwenye picha.

Ni uamuzi wake kufanya kile anapenda. Hizi sababu zako ni rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…