UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

Mkuu huoni kama ni dharura kwa ajili ya kumuombea nyerere au daily wanamuombea nyerere?
kwamba dharura kakosa kiti ? vyeti feki utawajua tu , poor reasoning yaan mtu unatetea with no strong reason sbb umeamua kutetea tu
 
Kwa upande wangu mi naona sawa tu kuingia na kiti au kutoingia na kiti cha muhim katimiza majukumu yake na hakuna sehemu kanisa wameandika ni marufuku kuja na kiti
kwan kuna sehem kule pemba pameandikwa hakuna kujenga kanisa , ila kwann wamepinga ? lzm tuheshimu taratib za kila sehem has ukiwa si muhusika wa hiyo sehem , Nyerere ahenziw kanisan sabab yule ni mtu wa watu yaan public figure so ilipaswa serikal kuandaa hafla nje ya kanisa il kuepuka mkanganyiko km huu
 
Kwa mliosalia kanisa hilo huko Bukoba naomba mnisaidie..
Hivi waliingia na kiti cha Raisi pekee au walitoa kale kasanamu ka Yesu, Mt Yoseph na Bikira Maria wakaweka ka Mama Samia?
Kama siyo hivyo kwangu ni poa tu...
anaeza kuingia na kiti msikitin ?
 
kwamba dharura kakosa kiti ? vyeti feki utawajua tu , poor reasoning yaan mtu unatetea with no strong reason sbb umeamua kutetea tu
We ushaninote vibaya siwezi kuzuia chuki zako dhidi ya jamii fulani haya babu Yako alishakujaza chuki umesema kuwa makini..babu Yako ya elimu yake ya uwizi kaishai kuiba serikali ubunifu ni zero kuwa makini kijana
 
Hilo nalifahamu, ukisema vyeo unaacha mlangoni sasa Samia huyu ni Muislam, kanisani anafata nini?
Ndo ujiulize kafuata nn ? ndio maana tunasema kaferi sana , hafla haifanyik kanisan na hata kana kaalikwa hapasw kuingia na viti kanisan , kualikwa haimaanish uvunje taratib , ukimya sio kuungwa mkono bali wanakustahi tu
 

Mkuu wa Kanisa ni Mungu na muwakilishi wa juu ni mchungaji
 
Sijaongelea kwa chuki naona una chuki kweny kifua chako
andika kwq kutumiq akili zako timamu , iangalie ccm yote hlf uje useme Nyerere alilea ukatoliki , ukatolik ulienezwa na wakoloni na sio serikali baada ya uhuru , wavaa kobaz huwa mnadanganya misikitin sana , hz akili zako si mara kwanza kuzisikia , wanawafundisha chuki dhidi ya iman nyingine kwa kutunga uongo , tembea pwan uone vijana walivyo wavivu wanaza ngono tu hlf kijana kapambana mkoan huko akitoboa unasema uroma umembeba , nyiny watu wa ajab sana kuwai kutokea dunian , NYERERE KAWALEA SANA ILI AWATUMIE KUTAWALA KWA MUDA MREFU WAROMA WENG WALIKUWA WAMESOMA NA ALIWAHOFIA SANA NA ALIWATOA NCHINI KWA VISA MBALIMBALI
 
Kile kiti si cha Samia, ni cha Rais.

Kwa bahati nzuri au mbaya hatuna kapeti la Rais. Lingekuwepo basi lingeingia msikitini kama kungekuwa na shughuli ya kiserikali huko.
tumia akil , usifikir km ng'ombe rais anaeza ingia na kiti msikitin ? hata Sadam au Ghadaf hawakuwai kufanya hv , au msikitin kwenu kuna cheo cha urais kinatambulika ndan ya msikiti kwamba anakuwa na mamalaka ndan ya msikiti ?
 
ushaona lin hafla ya ndoa au mazish inafanyika kanisan , tukisema mna akil kisoda mnasema tunawakashif , ila miandiko yenu inajidhihirisha ,
 
Kwan unahis Samia alienda kwa sabab tofauti na ile ya Kikwete au Mwinyi ? kote ilikuwa ibada , ibada ya kumuenz mtu na ibada za kumuabudu mung
 
ushaona lin hafla ya ndoa au mazish inafanyika kanisan , tukisema mna akil kisoda mnasema tunawakashif , ila miandiko yenu inajidhihirisha ,
Wewe ni kichaa kanisani watu wanaimba na kupiga ngoma kabisa kucheza kwaya!! We wawapi wewe? Kijana kama hujielewi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ile ya kina nandy na billnas sio hafla au unaota
 
Umetoka nje ya Muktadha, Kiti kimeharibu utaratibu gani wa kanisa?
Huo utaratibu unaharibiwaje ilhali padri (kiongozi wa kanisa) aliridhia?

Halafu SIASA maana yake nyepesi ni Nani anapata nini wakati gani.
nmekuuliza unaeza ingia na kiti msikitin , maana naamin pia itakuwa hujaharib utaratib wowote
 
ujumbe umepenya mpk umetema povu , ahsant jf , MWESHIMU NYERERE KAWALEA WAPUMBAV NYINY [emoji16][emoji23][emoji23]
 
ujumbe umepenya mpk umetema povu , ahsant jf , MWESHIMU NYERERE KAWALEA WAPUMBAV NYINY [emoji16][emoji23][emoji23]
Nyerere yupi? Yuko wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚babu Yako hakuwa na elimu hata robo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚zaidi ya kuvimba macho kwa uwizi
 
We ushaninote vibaya siwezi kuzuia chuki zako dhidi ya jamii fulani haya babu Yako alishakujaza chuki umesema kuwa makini..babu Yako ya elimu yake ya uwizi kaishai kuiba serikali ubunifu ni zero kuwa makini kijana
bab yang hakuwai isaidia hii nchi kwa lolote ila wamenufaika nchi ya jiran , MWESHIMUNI SANA NYERERE WAPUMBAV NYINY [emoji23][emoji23][emoji23] SOKOINE/KAMBONA ANGEWAPELEKA MPWITA MPWITA MPK MKOME KUKAA VIBARAZAN KUPIGA UMBEA KM WATOTO WA KIKE , UKU MNAHESAB SIK ZA KULETEWA MZIGO WA TENDE IFIKE MPATE CHA KUONGEZEQ UTAMU VIBARAZAN
 
Nilidhani umeandika ukiwa unaelewa kumbe ni mtazamo kutoka kichwani kwako, sasa angalia hiki hapa...
πŸ‘‡πŸΎ
3) Mbona Makamu wa Rais Dr. Mpango hakukalia kiti kama cha Rais?

Kiprotokali hatuna kiti rasmi chenye nembo ya kimamlaka kwaajili ya Makamu wa Rais, ila kingekuwepo angeingia nacho.
Pia Dr. Mpango ni Mkristo, ameingia kwa kofia ya Ukristo wake.
☝🏾
Hapo umejikaanga kwa andiko lako, nadhani umeelewa makosa yako makubwa ya kutaka kutetea kosa mlilofanya.
 
Wewe ni kichaa kanisani watu wanaimba na kupiga ngoma kabisa kucheza kwaya!! We wawapi wewe? Kijana kama hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23]ile ya kina nandy na billnas sio hafla au unaota
hv akil zak zpo sw , yaan watu kushangilia mara moja pindi padre au mchungaj anabariki ndoa ndo unaita hafla ? au huko chitohor ndo mnaita hafla , vua kobaz zitakupeleka pabaya
 
Kwa kiakili asingeweza kupambana na uislamu zaidi ya kutumia chocho ya kusema hamna udini behind anasamba ukatoliki yuko wapi leo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tupo kweny system taasisi nyeti kutokana na uwezo wetu wala haturingi .....tuna matajiri wakubwa wakina mo kwa bongo tuna nyie mko wapi mnasubiria miujiza ya mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…