Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,152
- 7,423
Sasa Mbowe na Slaa nyinyi si mnahubiri demokrasia??
Kwanin linapokuja suala la kupokezana vijiti mnakuwa wakali??kwanini??
Demokrasia ya ukweli inaenda na kuachiana madaraka na sio kurefusha wigo wa kukaa madarakani,kwanin hamjifunzi kuwa kama nyerere na mandela??
VYOVYOTE VILE MUWAZIAVYO HAPO JUU MUDA UKIFIKA MTABANDUKA TUH,UKWELI NDIO HUO HATA KAMA NI MCHUNGU,ACHEN PROPAGANDA CHAFU,MNAKUWA KAMA MAFISADI WA CCM??TOFAUTI YENU NA YAO NI IPI SASA??
ILA,SISI TUNAWAAHIDI,KAMA FITNA NA SISI TUNAZIJUA SANA.WAULIZEN CCM WANAKIPATA NINI HUKU KUSINI,WANAJUTA,NA TUTAWAGEUKIA WANASIASA WOTE WENYE MAONO YA ULAFI NA UCHUMIA TUMBO KWA HILA ZA KUTUMIA UMASKIN WA WATANZANIA NA KUJIFANYA WAZALENDO NA WANA DEMOKRASIA,
Nyerere wakati mwingine alikuwa anaona mbali sana,
Alipokawa anapinga ukanda na ukabila wa kina chifu mareale na kutuuusia nchi hii tusiwape wachaga aliona mbali sana,
SISI TUNAULIZA SWALI,KAMA NIA YAO NI HIYO,WALIKUWA WANA HAJA GANI YA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KWA ULAGHAI WA M4C HUKU WAKISEMA WANAHITAJI NGUVU YA UMMA??TENA KWA PESA YANGU YA RUZUKU YA KODI YANGU??
SI WANGEBAKIA NA CHAMA CHAO HUKO HUKO KASKAZIN??
TUTAKULA NAO SAHANI MOJA SASA
Nyerere wakati mwingine alikuwa anaona mbali sana,
Alipokawa anapinga ukanda na ukabila wa kina chifu mareale na kutuuusia nchi hii tusiwape wachaga aliona mbali sana,
sasa watanzania walipoamua kukikubali chadema na kujaribu kuondoa notion ya ukanda na ukabila na kuweka picha ya usawa ndan ya chama imekuwa ugomvi,hawataki kata kata...!!
Na wanawatimua watu hadi kwa matofali ili wabakie wenyewe ndan ya chama hiko waendeleze ukanda na ukabila,,
we ni gamba tu kalale!
M/Kiti Mh. Freeman Mbowe ameshawasili na ameanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imemteua Mh. Tundu Lissu kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na pia Kamati Kuu imefikia maamuzi ya kinidhamu kwa baadhi ya viongozi.
Anamkaribisha Mh. Tundu Lissu kwa ajili ya kutoa taarifa ya maazimio ya Kamati Kuu kwa niaba ya M/Kiti
R.I.P. CHADEMA!
Eti wanataka wampe Yule msanii wa Morogoro aliyejiunga nao juzi(afande Sele) hicho cheo cha Zitto Kabwe!! Ha ha ha!!!
THE BIG SHOW mdini namba moja Tanzania,.......anapaswa kupigwa vita kali....huko aliko Tabata........wananchi walitambue hilo...mtwara JK ameshamshughulikia.........
waraka huu umechomolewa kwenye laptop ya Kitila Nkumbo, alipobanwa akakubali mwenyewe.
NO COMMENT! Uko sawa sana ndugu! Acha wenye mawazo finyu wafikiri ujinga wao! Hiki ndicho chama tunachokitaka kwa TZ bora na ya wote!Utofauti wa chadema na ccm ni huu unaoonekana katika kufanya maamuzi.
Kwa chadema ...gamba likiota linakwanguliwa bila woga lakini kwa ccm wanalipaka mafuta!
Mifano ipo......
Rejea maamuzi ya chadema dhidi ya madiwani walioasi kule Arusha na pia masalia wanavyoshughulikiwa.
Kwa upande wa ccm rejea magamba matatu EL,AC na RA
halafu kuhusu wale madiwani wa bukoba!