Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
ugala ni station kama ya 5 hivi kutoka mpanda.
na wakaazi wa hapa wanaitwa wagala.

nimejaribu kuwasikiliza hapa nipo nao wamedai hawataicha chadema ianguke kwa sababu ndio chama chao wanachokitegemea.

uvccm naomba utulivu tafadhali.
 

Kwanini unajifaya una uchungu ,mno na waliovuliw vyeo kuliko wao wanavyojililia. Wewe kama hubali uamuzi wa mamlaka halali ya CDM si uchukue jembe ukalime na utuache sisi wenye chama chetu?
 

laptop ya KITILA
 
...nawapigia saluti makamanda woote walioshiriki kufanya maamuzi magumu kwa manufaa ya chama...
 
Mzee Alfi kumbe naye alikuwa na malalamiko? Sielewi. Kwani naye alitoa malalamiko mkutanoni? Na kama je malalamiko yake yalijadiliwa! Kwa nini ajiuzuru leo baada ya Kamati Kuu kumaliza kikao chake? Je inawezekana kuwa mzee huyo naye yupo katika Kamati ya siri ya Zitto? Sielewi.
 
...mleta uzi iyo heading yako ilipaswa kuandika anguko la alfi...
 
Arfi alisimama kidete kuhakikisha mgombea wa CHADEMA harudishi fomu!
 
mimi pia nimefikia maamuzi kama yako ... hiki ndicho chama makini,kitakuwa na uwezo hata wa kufukuza mafisadi,kitu ambacho chama changu ccm kimekuwa kikijinasibu muda mrefu bila mafanikio.
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh

Ivi una akili kweli wewe? Lisu hakuwa mwanasheria wa chadema
 
nimefurahi sana propaganda za ukanda na udini ni ndogo sana kulinganisha na za ugaidi yatapita tu hakuna kutetereka virus out alafu mwendo mdundo 2015
 
mimi pia nimefikia maamuzi kama yako ... hiki ndicho chama makini,kitakuwa na uwezo hata wa kufukuza mafisadi,kitu ambacho chama changu ccm kimekuwa kikijinasibu muda mrefu bila mafanikio.


tuko pamoja.
 
siasa bwana! Nani uyu tunaemzungumzia ivi sasa? Zitto?.................
 
Lissu anatumiwa tu.

Unakumbuka Kitila alivyotumiwa kibadilisha matokeo ya viti maalum ili watoto wa Ndesamburo na Mtei wapate Ubunge?

Ukitaka tuongelee watoto wa viongozi na wake wa viongozi wa CCM waliopewa vyeo kwa kutumia uchi utachangia huu uzi wewe?? Kaa kimya mtt mzuri wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…