Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Muujiza zaidi Nchemba anamwaga sifa kwa Kitila sasa!!!
Hapo ndio tujue kwanini Nchemba hajawahi kukosa usingizi Iramba!!

....Na ndio maana speed ya kitila kujenga mazingira ya kugombea ubunge iramba ni ndogo mnoo kama mwendo wa kinyonga vile......
 
...kweli isiyo na mashaka,na itawagharimu sana maana utabiri wao wote ulikuwa utekelezwe na dogo zito...
 
Uzi kama gazeti ndani hamna kitu. Habari zitapatikana hata bila huyo uliyemtaja.
 
naona hoja tunawamudu watu wasio na huruma na panya wasio na hatia kisa uenyekit eight oclock akawaumbua sasa wanakula matunda ya usaliti hawajajifunza kilichomkuta kafuli alipojaribu kumwengua mbatia
Mie naona kama watu wanaotaka kukumbatia nyuki Kafulila alilia sana aibu sasa hana hamu na usaliti ndani ya chama
 
Ni ktk kutekeleza mpango wa wasira wa kuiua cdm ambopo wasaliti wangejiongezea kipato binafsi.

Lakini nani anaweza kuwa kauanda huu waraka wa siri, maana mm hayuko katika kuuandaa zaidi ya kuujua.

Akili za muuandaji vipi? maana kumtafutia mm2 na mm3 million 2 mbili halafu utegemee wa kusaidie kukamilisha jukumu zito na kubwa hivi ni wendawazimu wa aina fulani hivi.
 
Thread kama hizi zinazidi kunikumbusha kuwa MAISHA NI SAFARI YA MUZIKI..... LET US SING TOGETHER.... GO GO. GO DHORTIE.... WE GONNA SIP BARCADI TONIGHT....

.....,.loading......,searching.....please wait......
 
Naanza kukosa imani na CDM kwa hili tu they have made bad decisio kwa sababu ambazo zimeorodheshwa kama una akili zisizofuata mkumbo lazima ustuke!!
Samahani lakini huo ni mtizamo wangu tu!!

Wala Chadema haiitaji imani yako. Sepa kwa magamba wenzako.

Hapa ni oparesheni safisha uchafu na virus vyote. Futa delete kabisa.
 
Zito alikuwa political liability afadhali CHADEMA sasa inaweza kusonga mbele bila pingamizi lolote. Kamati kuu mmefanya jambo la maana.
 
Kuondolewa kwa Zitto Chadema ni hasara kwa CCM maana waliwekeza sana kwake !
Lakini pia ni hasara kwake maana hatoendelea kutumika.
Na pia ni faida kwa yale mashirika ya umma aliyokuwa akiyakamua
Jamaa Zitto sitamsahau kwa kujidai mtetezi wa madini yetu kada ya ziwa huku akipiga dili kubwakubwa.
 
Kwa Zitto kuhama CDM ni ngumu bali atakachokifanya ni kujitetea ili acfukuzwe uanachama ila Maisha yake kichama hayatakua na ushirikiano kabisa atafanya yake na jimbo lake mpk kukaribia 2015,,
Kwa nini hatahama Chama kwa kipindi hiki?
1. Anatambua unafiki wa vyama vingi ikiwemo ccm, cuf na nccr(vngne bado sana vinanuka mikojo) ambao kwa sasa wanafurahia kufukuzwa kwa Zitto nakujfanya wanahuzunika nae kumbe wazandiki wanafiki2 wa kisiasa akishavuka mlango2 raasmi wamtazame2 km tambara la deki.
2. kuna dalili akapumzika siasa 2015 acgombee mpk badae sana
3.kwa hoja yakuhamia vyama vingne hofu kubwa kwa (ccm) anaogopa kutelekezwa km akuna Shonza na Mwampamba kwa vile ------ hatakua na shida nae tena kutokana na wakat wke kuisha na pia kuna foleni kubwa sana ya waliohuzunika pa1 miaka dahari wakisubiri kufarijika pa1 pia 2015,
kuhusu kuhamiA NCCR ngumu kwa vile haziivi na mwenyekiti wao,,kwenye CUF nako uliberali ushakiozesha chama hcho mpk zenji2 wapo pia wanaongoja saana,,,, kwa hayo ndo yanamfanya Zitto atulie2 cdm ila kwA kiburi hatashiriki shughuri za chama,;karibuni kwa mengneyo
 
nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa vyote hivi vimetokea kwa bahati mbaya.
 
annamwombe, nimepitia michango ya hao wanaJF uliowataja kabla hii hatua ya kijasiri iliyochukuliwa na uongozi wa Chadema na hapa naorodhesha kwa ufupi baadhi ya dhihaka waliyokuwa wakiitupia Chadema.

  1. Chadema hawana ubavu wa kumgusa Zitto, wakimgusa tu wamekwisha!
  2. Chadema wanawashughulikia tu vidagaa, hebu kama wana ujasiri wamguse Zitto!
  3. Viongozi wa Chadema hawana ubavu wa kumfukuza Zitto au Shibuda.
  4. Zitto ndiye nguzo ndani ya Chadema wakimgusa tu chama kinasambaratika.
  5. Vijana wengi wanaokiunga mkono Chadema ni kwa sababu ya Zitto.
  6. Sasa hawa Chadema kama hawampendi Zitto si wamfukuze waone kitakachofuata.
  7. Umaarufu wa Chadema umetokana na jitihada za Zitto.
  8. Mbowe na Slaa si chochote, si lolote kwa kijana Zitto.
  9. Siku Zitto akiondoka Chadema tu na Chadema inakufa.
  10. Zitto ni zaidi ya Chadema.
Leo shujaa wao Zitto kachukuliwa hatua, duh, watu wameshindwa kupata usingizi...ni thread, thread, thread! Ghafla nikakumbuka msemo huu...ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopa! Ni ajabu ilioje kwamba mtu aliyedaiwa kuogopwa ndani ya Chadema leo washikaji wake waanze kulalama eti kaonewa!

Binafsi naungana na wote wale wanaoipongeza Chadema kwa hatua yao hiyo inayoitofautisha kabisa na chama tawala, wameonesha ujasiri na uthubutu wa hali ya juu. Kumbukeni kuwa mfichaficha maradhi, kilio humuumbua na heri haya yafanyike sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote baadaye. A luta continua.

cc: CHAMVIGA, ZeMarcopolo, FaizaFoxy, Chabruma, Simiyu Yetu, Shelui, Mwigulu Nchemba,Taswira, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=132973"]MwanaDiwani[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34266"]Ritz[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=25971"]TandaleOne[/URL] [/B][/B]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…