Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa

Hili tukio mi naona limegusa wajinga wachache kitaifa,kwani zito amepata umaarufu upi na kwa lipi?ama kwa kuandikwa andikwa magazetini?hata mjinga pia anaweza kuwa maarufu itategemea na hao wanaomsifia akili zao ziko vipi,mzee liyatonga mrema alipata umaarufu wa vitendo na sio maneno lakini leo hakuna mtu anaweza kumskia mrema anaongea na akawanyamazisha wenziwe ili wamskiize?zito aliwahi kuwafanyia nini watz?ama -------- husadik kila jambo bali mwenye hekima hutafakari.
 
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa

Pamoja na mchango wake chanya ndani ya chama, zzk aligeuka na kuwa msaliti dhidi ya mambo aliuokuwa akiyaamini na kuyapigania. Amekuwa muasi anayetoa siri za cdm.
Tusiendekeze ushabiki, zzk kapoteza sofa ya kuaminika kwa wananchi
 
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa
Toa mfano au ushahidi wa huo ujenzi aliowekeza CHADEMA. Japo hicho nacho hakiwi kigezo na kinga dhidi ya tuhuma nzito kama usaliti na uhaini
 


Watu wansahahu jinsi akina MWAMPAMBA na SHOZA walivyolilia humu na kulala mika wao kufukuzwa huku BOSI wao ZITTO akiwakana, tena ilikuw ahumuhumu JF na ZITTO aliwaambia wafute yao na siwahusishe lakini hakika vijana walimtisha ZITTO na kumuambia hatima yake kisiasa wameshikilia wao.

HIVI TUMESAHAU HATA HAYA?
 

We nae mbona mbishi,unachobisha nini?kwa kuwa uko hapi Lumumba kupigania ufisisadi,ujangili,biashara ya sembe,rushwa,dhuluma,basi umekuwa na roho ya shetani.
Hivi unachobisha ni nini?mbona ni mambo yanayofanywa na watu?technology imekuwa,acha ubishi usio kuwa na faida.
 
Nimekubali mkuu Zanziba ndo wanafukuzwa lakini si kuondolewa duniani, akina Aboud Jumbe, Sharif Hamad na kijana aliefukuzwa mwaka huu , wengine nimewasahau nikumbusheni.

CCM inawadekeza sana wazanzibari yaani--utafikiri mtoto kitinda mimba! akisema miiiiiimi nataaaka andaziiiii! ujue ataletewa andazi, na kalimati na ubuyu juu!.
 

Acha ushamba wewe unamtishia nani kuwa angani saa 8? Unajua wengine tupo wapi na tulipaa masaa mangapi? Yawezekana mwenzetu umekwenda nyampulkano kwa ungo ndio maana unaaga unasahau kuwa JF ipo Worldwide isipokuwa muendako na nyungo kwasababu ya miundombinu mibovu kwenye nchi inayoliwa na majambazi wenzio CCM. Halafu hizi taarifa kuwa Mnyika ndo alikuwa akikaimishwa kumbe mmeo alikulalamikia pia? Wanaume wengine bana, yaani hadi mambo ya ofisi unayapeleka kwa vimada? Hovyo kabisa!
 

Nadhani ukivaa nguo unaweza kuwa na akili kidogo ukaacha kutoa mapovu.
 
Mimi nadhani kama kuna kingine watu waseme lakini kw aswala la Perfomance hapa mimi nakataaa.
Au kila mmoja kwa majukumu yake atuambie amefanya nini Jimboni kwake na kwenye majukumu yake ?

Copy and Paste from FB

"Baraka Mfilinge[h=5]Chama cha CHADEMA kilianzishwa 26.1.1993 (MTEI-1995) Wabunge 4, Madiwani 42 (MAKANI-2000) Wabunge 5, Madiwani 75 (MBOWE-2005) Wabunge 11, Madiwani 103 (MBOWE-2010) Wabunge 49, Madiwani 479, Halmashauri 7, Vijiji zaidi ya 1200 plus RAIS aliyechakachuliwa. Je, ni kweli Mbowe hafai kuwa M/KITI kwakuwa hajakifanyia kitu CHADEMA? AU ni kuweweseka kwa MACCM kuelekea kushindwa uchaguzi wa mwaka 2015? KUMBUKA CCM Tangu 1985-2015 imekuwa na wenyeviti wa chama WATATU tu, na CUF Tangu 1995 mpaka leo M/KITI wake ni mmoja tu! Tujadili."[/h]
 

umekopi waraka wewe huna jipya.
 
Tunachotaka ni democrasia ndani ya chame meku, hata kama alikuwa na wabunge 700 bado haina maana ya neno democracy.
 
CHADEMA DAYOSIS YA KASKAZINI inaibananga DEMOKRASIA ndani ya chama. Wenye akili hawawezi kukubali kuwa misukule siku zote
 
Badaa ya kikao cha kamati kuu na maamuzi yake kusomwa kwa wanahabari, ilitegemewa kuwa kauli ile ingewaprovoke wawili hao na kutangaza kuihama CDM. Huu ungekuwa mwanzo wa mwisho wao kisiasa maana vingozi wa CDM wangezunguka nchi nzima wakitangaza “madhambi yao” na kushindwa kujitetea mpaka wameamua kujiondoa chamani. Wawili hao waling’amua mtego na wakatangaza kuipenda chama na kutokutoka ndani ya CDM hivyo wenye maamuzi ya hatima yao ni viongozi wa CDM. Kumbuka wanachama wa CDM na wasio wanachama wamegawanyika kuhusu suala hili. Hivyo, ZZK akifukuzwa na CDM uanachama, waliokuwa wanaona ameonewa wataichukia chama na kuondoka naye. Akiachwa ambayo ndo naona ni uwezekano mkubwa wasiompenda wataona viongozi wao hawana maamuzi na hivyo ZZK atakuwa ameshinda. Wanachama hawa wataambiwa kuwa wamemwacha kwa makusudi na “watamshughulikia” vilivyo asikukuruke. Ni dhahiri CDM wataamua kumwacha ZZK kwa kisingizio kuwa wanampa second chance huku wakijua kabisa hawana cha kufanya maana nao hawataki kuona chama “kinawafia” mkononi. Hivyo, ZZK ataachwa kama mwanachama wa kawaida na kupewa onyo. Dr. Mkubwa anaweza kuvuliwa uanachama maana hana madhara sana kwa umma.
Karibuni kwa tafakuri.
 
ninachokiona hapa ni hofu ya wapinzani wa chadema, naona kama ni demokrasia hakuna chama chenye demokrasia, ccm kwa mfano huwezi kuwa mwenyekiti kama sio rais, je hiyo ni demokrasia? chadema songeni mbele...
 
Demokrasia pia inamipaka yake, muulize shetani atakuambia kuhusu hilo,alihoji performance ya MUNGU, leo unajua yupo wapi!!!! hahaaah
 
Wasirra alishatangaza kwamba - CHADEMA ITAKUFA KABLA YA 2015, kumbe hili ndiyo lilikuwa dili lao.
 
Heb tuambie n utaft up uloufanya ukaona wnachama wamegawanyka? Atafukuzw n CDM itazid kuimarika.Mbon muda tu yuk pending
 
45% cdm ni Kigoma!!kazi imelala hapo,kwa anayejua maana ya politics atanielewa namaanisha nini!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…