Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.

Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.
 

C:C ZeMarcopolo hivi kwa nini uombe kujiuzulu nyadhifa Kama una uhakika huna kosa?? Au ndo ile ya Lowassa? Kuonyesha werevu??
 
Last edited by a moderator:

hapa ndipo pamebeba maana kubwa ya mzozo huu, na kama hili ni kweli na ushahidi upo basi pole dr. Na zzk. Haikufaa kukubali lkn kama ni siasa basii dr. Na zzk hapa ndipo pa kutokea.
 
Kurugenzi ya Habari
===>Uleteni hapa tena katika PDF format itakuwa vizuri zaidi
 
Last edited by a moderator:
Ni kwasababu hujawahi kumjua Kitila ndio maana unaamini uzushi huo.kitila ni level nyingine hata huyo Slaa haingii kabisa hapo.Huu uwongo wa siasa chafu utawashuka soon
Kitila Mkumbo anahongwa laki mbili kama mfagizi wa ofisini kwangu! Ptuuuuu hata mm naweza mfanya house boy wangu nikamlipa laki nne.....iinaonekana huyu jamaa kusoma kote haikumsaidia kitu
 

HAPA NDO UJUMBE MKUU ULIPO....wenye akili wataelewa.
 
Can't believe. Kumbe kuna waraka mwengine mbali ya ule uliosambaa!
Nausubiria kwa hamu sana.
 

Kwahiyo hawataki viongozi hao waheshimiwe...
 
Mwita Maranya
===>Naamini nyepesi ataomba msamaha maana hii ngoma ni nzota sana kwake.
 
Last edited by a moderator:
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.

Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.

Ubaya ukitaka hewa safi sharti ufungue madirisha yote na ubaya ukifungua madirisha yote wataingia nzi,mijusi,vumbi hadi inakuwa karaha! Hivyo dawa ni kuweka nyavu ili ipite hewa safi tu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…