Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Watu pekee wanaoweza kufanunua uwepo wa Mungu bila jazba ni Wakristo hutumia Pschology & Theology pana kukuelewesha hadi ukaingia kwenye mfumo kumuamini Mungu wao Yahweh.. vinginevyo kutana na wale kutoka Tandale kwa Tumbo waumini wa Masjid Khomenei, ukibishia kuhusu mungu wao aitwae Allah uwe na mbio kama Ussain Bolt vinginevyo watakumwaga utumbo na kukutenganisha viungo wapate thawabu kwa mungu wao Allah
 
Ukishakuwa na mjadala kujadili uwepo wa Mungu tu, hususan Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, mjadala huo tu nao ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu, kwa sifa zake hizo, Mungu huyo angekuwapo, angejulikana na viumbe wote, popote, muda wowote, bila utata, kwa namna ambayo haihitaji mjadala na mjadala hauwezekani.

Hivyo, mjadala huo, kwenye ulimwengu ambao Mungu yupo, usingewezekana kuwepo.

Hili ni jambo rahisi tu kuelewa.

Lakini unaweza usielewe.

Na usipoelewa pia ni ushahidi kuwa huyo Mungu hayupo.

Kwa sababu huyo Mungu, kama yupo, atakuwa si mkatili hivyo akunyime uelewa ndogo tu huu.
 
ERTUGRUL BEY 😁
 
Ukisema unapuuza hoja ambayo hujaijibu mimi nakuona unaikimbia hoja, kwa sababu huwezi kuijibu.

Na ukishakuja hapa kusema unawapuuza, hujawapuuza, umewajibu kwamba umewapuuza.

Hakuna hoja hata moja ya kutetea uwepo wa Mungu ambayo haijajengwa katika ujinga.

Kama unabisha, iweke hapa tuichambue.
 

First things first.

Umeuliza.

"Je, kitu kinaweza kutokea bila muumbaji?". Umeonesha kufikiri Mungu ni lazima awepo ili ulimwengu uwepo.

Kwanza hapa kuna a logical non sequitur fallacy. Kitu kinaweza kuumbwa bila muumbaji kuwa Mungu. Kwa hivyo kufikiri muumbaji lazima awe Mungu ni logical fallacy. Non sequitur logical fallacy.

Pia, hujaeleza ni kwa nini ulimwengu uwe umeumbwa, kwa nini ulimwengu wenyewe usiweze kuwa the uncaused cause bika kumuhitaji Mungu?

Kuna watu wanakataa dhana kwamba ulimwengu una mwanzo.


View: https://youtu.be/IR4u18dzewo?si=WfEpRBRQGsS-89QF
Lakini zaidi, unaji contradict.
Kama kila kilichopo kinahitaji muumbaji, hakiwezi kuwapo tu, Mungu naye ana muumbaji wake?

Hoja namba moja kiukweli ni hoja inayoonesha Mungu mjuzi wa vyote, muweza wa vyote, muumba wa kwanza ambaye hajaumbwa, hawezi kuwepo.

Kama hakuna kinachoweza kuwepo bila muumbaji, hata Mungu naye atahitaji kuwa na muumbaji, na akishakuwa na muumbaji wake, huyo si Mungu tena. Na muumbaji wake atahitaji muumbaji, mpaka infinity.

Hapo hakuna Mungu.

Ukisema Mungu ni special, yeye hahitaji muumbaji, kwanza umevunja kanuni yako kwamba kila kilichopo kinahitaji muumbaji, tena kwa special pleading logical fallacy.

Ukishasema tu kuwa ordered complexity cannot just arise out of nothing, it needs to be created by a greater oredered complexity, hapo Mungu muumba vyote hawezi kuwapo, kwa sababu na yeye atahitaji muumba, na muumba wake atahitaji muumba, ad infinitum, ad nauseam.

You can't escape this without a special pleading logical fallacy, which destroys your premise.

Ila wewe ni mjinga sana hujaelewa kuwa hiyo hoja unayoiweka kama utetezi wa kuwapo Mungu, kiukweli ni hoja ya kuonesha kuwa huyo Mungu hawezi kuwepo.

Huyo Mungu, kwa hoja hiyo, hawezi kuwepo bila ya special pleading logical fallacy.

Nikishaona mtu anaweka hoja kama hizi namuona mjinga tu anasumbuliwa na ukosefu wa elimu ya msingi kabisa ya mantiki.

Naona tabu hata kujadiliana naye, kwa sababu inawezekana kabisa hataelewa chochote nitakachomuambia.

Haelewi hata special pleading logical fallacy ni nini.

Unaelewa special pleading logical fallacy ni nini? Unaelewa infinite regression argument ni nini?

Haelewi kuwa hoja anayoiona ni ya kutetea uwepo wa Mungu, kimsingi, ni hoja ya kuonesha Mungu hawezi kuwapo.

Umekuwa kama mjinga ambaye haujui ujinga wake, maumivu anatupa sisi tunaouona ujinga huo.

There is a distance between your understanding and mine, and I am not sure I can close it.
 


Jua ni Nyota wanaweza. Na nyota ziko Billions so wanaweza kuwa miungu wengi walioumba nyota nyingi kulingana na Kila interest za mungu husika.

So kusema Mungu ni mmoja haina hoja Sana kama wanaosema miungu wapo wengi.

Sababu za miungu wapo wengi zinamsingi kuliko wanaosema mungu ni mmoja.

Kulazimisha mungu ni mmoja ni sawa na kulazimisha jua au lugha ni moja
 
Divine fallacy.

The divine fallacy (or argument from incredulity) is a logical error where someone assumes a phenomenon must be caused by divine intervention or a supernatural force, often due to a lack of understanding or personal belief.

It asserts that because a phenomenon is difficult to imagine or explain, it must be divine.

The divine fallacy can take various forms, but it generally has a structure similar to the following:

Premise 1: if I don’t know how to explain a certain phenomenon using science, then it must occur as a result of divine intervention.

Premise 2: I don’t know how to explain this phenomenon using science.

Conclusion: this phenomenon must occur as a result of divine intervention.

For instance, consider the following example of a fallacious statement, which involves the divine fallacy:

“I don’t understand how life on Earth could have developed naturally, so it must have been created by God.”

Here, the speaker uses fallacious reasoning when they claim that just because they don’t understand how life naturally developed on Earth, that means that God must be the explanation for it.
 
je, mkuu hata watoto wako umewakataza wasiamini uwepo wa Mungu?
 
Hola yako bado haikinaishi kuelezea uwingi wa miunģu kwakuwa tu kuna vitu vingi kwahiyo basi bilashaka vitakuwa vimeumbwa na wengi

Je,sisi binadamu kwa mtazamo wako tumeumbwa na miungu wengi au mmoja tu
 
Tuje kwenye kizazi cha mwanadamu, je kwakuwa hamjamuona Mungu kwa macho yenu au sayansi haijadhibitisha uwepo wake,je binadamu au viumbe wengine wametokea tu kwa bahati mbaya au kutokana na vurugu za mabadiliko tu?
 
Hola yako bado haikinaishi kuelezea uwingi wa miunģu kwakuwa tu kuna vitu vingi kwahiyo basi bilashaka vitakuwa vimeumbwa na wengi

Je,sisi binadamu kwa mtazamo wako tumeumbwa na miungu wengi au mmoja tu
Binadamu hawaumbwi.

Binadamu wanazaliwa.

Hakuna Binadamu yeyote aliyeumbwa na Mungu.

Hata wewe hukuumbwa na Mungu.

Mama yako alikuzaa.

Hii kusema binadamu aliumbwa ni illogical.
 
Kwani kuna mfu yeyote nimemkataza kuamini uwspo wa Mungu?

Kujibu swali lako.

Hapana, kwa nini niwakataze wakati wana uwezo wa kufikiri na kifikia hitimisho hilo bila kukatazwa kwa kutumia akili tu?
hapo sawa, lakini je chombo kilichoumbwa na mfinyanzi kinaweza kumwambia mfinyanzi wake kwamba hapa umekosea kuniumba, ilitakiwa hivi, je kilikuwepo wakati kinaumbwa? Kinajua kanuni zipi na mahitaji yapi vilitumika kukiumba? Chukulia hiki kitu ndo cha kwanza kuumbwa na hakina reference nyingine yoyote na kisimwambie mfinyanzi kwa nini hujaniumba niwe sawa na wewe, kwa maana mfinyanzi ana malengo yake ambacho kenyewe hakijui ni nini na yalitoka wapi hayo malengo
 
Tuje kwenye kizazi cha mwanadamu, je kwakuwa hamjamuona Mungu kwa macho yenu au sayansi haijadhibitisha uwepo wake,
Kwanza, kwa nini unaipa sayansi mzigo wa kuthibitisha madai ya uwepo wa Mungu?

Madai ya uwepo wa Mungu yalianzishwa na nyie waamini Mungu, kwa hiyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu. Sio sayansi.

Thibitisheni madai yenu, nyie wenyewe maana ninyi ndio mlianzisha madai hayo.

Msiipe Sayansi mzigo wa kuthibitisha madai ambayo haija yaanzisha.
je binadamu au viumbe wengine wametokea tu kwa bahati mbaya au kutokana na vurugu za mabadiliko tu?
Binadamu hawajatokea sehemu fulani.

Binadamu wapo ulimwenguni na wanazaliwa kwenye ulimwengu ambao tayari upo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu vinapotokea vitu hivyo haiwezi kuwepo tu yenyewe, lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa sehemu nyingi, vinapotokea vitu.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo kutokea sehemu fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…