Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Huko kusema "mpangilio huu una ashiria" tayari ni assumptions zisizo na ushahidi wowote ule.Ulimwengu haupo tu, bali upo katika mpangilio makini sana. Kwa mfano, nguvu ya mvuto (gravity) au kasi ya upanuzi wa ulimwengu ikibadilika kwa kiasi kidogo sana (hata kwa 10^{-60}), uhai tusingekuwepo.
Hoja: Mpangilio huu makini unashiria Akili (Designer) na si bahati mbaya au "kuwepo tu." Kusema kila kitu kilikuwepo tu ni sawa na kusema saa ya mkononi ilijitengeneza yenyewe na kujiseti muda wenyewe.
kweliHoja ya Kusababishwa (Cosmological Argument)
Kila kitu tunachokiona kina chanzo chake. Hakuna kitu kinachoweza kujisababisha chenyewe kuwepo.
Hoja: Ikiwa ulimwengu upo, lazima kuna kitu kilichosababisha uwepo wake. Sayansi ya sasa (kama nadharia ya Big Bang) inakubali kuwa ulimwengu ulikuwa na nukta ya kuanza.
Ikiwa hakuna mwanzo, inakuwaje leo tupo hapa? Huwezi kufika 'leo' kama kulikuwa na idadi isiyo na mwisho ya siku zilizopita (Infinite Regress)."
AI inawezahapo sawa, lakini je chombo kilichoumbwa na mfinyanzi kinaweza kumwambia mfinyanzi wake kwamba hapa umekosea kuniumba, ilitakiwa hivi, je kilikuwepo wakati kinaumbwa? Kinajua kanuni zipi na mahitaji yapi vilitumika kukiumba? Chukulia hiki kitu ndo cha kwanza kuumbwa na hakina reference nyingine yoyote na kisimwambie mfinyanzi kwa nini hujaniumba niwe sawa na wewe, kwa maana mfinyanzi ana malengo yake ambacho kenyewe hakijui ni nini na yalitoka wapi hayo malengo
Zipo jamii zinaamini MUNGU wao ni Mmoja na hauondoi ukweli wa jamii zingine wanaoamini miungu Yao iko mingi. Kwa sababu kuu ni kuwa wote hawawezi kuthibitisha.
Kama hakuna kitu kinachoweza kujisababisha chenyewe, Hata huyo Mungu hawezi kujisababisha mwenyewe.Hoja ya Kusababishwa (Cosmological Argument)
Kila kitu tunachokiona kina chanzo chake. Hakuna kitu kinachoweza kujisababisha chenyewe kuwepo.
Hoja: Ikiwa Mungu yupo, lazima kuna kitu kilisababisha uwepo wake.Hoja: Ikiwa ulimwengu upo, lazima kuna kitu kilichosababisha uwepo wake. Sayansi ya sasa (kama nadharia ya Big Bang) inakubali kuwa ulimwengu ulikuwa na nukta ya kuanza.
Mwanzo kutoka wapi?Ikiwa hakuna mwanzo, inakuwaje leo tupo hapa?
Cosmological arguments hazithibitishi uwepo wa Mungu.Huwezi kufika 'leo' kama kulikuwa na idadi isiyo na mwisho ya siku zilizopita (Infinite Regress)."
kwa akili za binadamu zinafikiri kila kitu kimetokea wapiKama hakuna kitu kinachoweza kujisababisha chenyewe, Hata huyo Mungu hawezi kujisababisha mwenyewe.
Hoja: Ikiwa Mungu yupo, lazima kuna kitu kilisababisha uwepo wake.
Mungu huyo hawezi kuwepo tu, from nowhere.
Mwanzo kutoka wapi?
Mwanzo kuanzia wapi?
Cosmological arguments hazithibitishi uwepo wa Mungu.
Cosmological arguments ni assumptions tu, zinazo jaribu kuelezea uwepo wa huyo Mungu.
Kama hakuna kitu kinachoweza kujisababisha chenyewe, Hata huyo Mungu hawezi kujisababisha mwenyewe.
your faith healed uHili mlichukue lilivyo. Mimi ndo hao wasioamin uwepo wa mungu. Cku moja tulipata ajali ya pkpk na mm ndio niliumia kwa kiasi kikubwa. Sasa nikawaambia kuwa kila cku mnaniambia mungu mungu sasa msiende hospitali bali mhamie kanisani hadi cku mtapona na mimi sitaenda hos bali konyagi yangu itaniponya. Kweli wakakubali kutoenda hos kwamba wataongea na mungu na watapona mimi nae kila kukicha nasafisha na konyagi yangu jeraha na nyingne nakunywa. Na sio siri ndan ya cku nne kidonda kimeanza kukauka kama nyama inayochomwa na wao ndo kabsaa kinazidi kuwa kama samaki alochemshwa afu kashkia kwene sufuria. Kilichowakuta mwishoni ni sawa na mtu alougua kansa ya kidonda. Kidogo tu nipge pafu la nyagi nakwom
Hoja yako inatoka kwenye Mising gan?.Hoja: Ikiwa Mungu yupo, lazima kuna kitu kilisababisha uwepo wake.
Mungu huyo hawezi kuwepo tu, from nowhere.
hapo juu umemwita Kiranga na Infro, we upo upande gani? unaamini uwepo wa Mungu au hapanaPsalm 14:1
"The fool hath said in his heart there is no God".
Kwa nini unafikiri kila kitu kimetokea sehemu fulani?kwa akili za binadamu zinafikiri kila kitu kimetokea wapi
Kabla ya kusema Mungu ndiye muanzilishi. Kwanza thibitisha uwepo wake.Mungu ndiye mwanzilishi
hapakuwa na kitu ila yeye
akaumba ulimwengu
hata muda aliumba.
muda haumlimit yeye
na mawazo yake sio kama yetu
Logic and reasoning.Hoja yako inatoka kwenye Kanuni gani?.
Logic and reasoning.Hoja yako inatoka kwenye Mising gan?.
Mambo kuwa juu ya uelewa wetu sio kigezo au uthibitisho wa moja kwa moja kusema Mungu yupo.kuna mambo yako juu ya uelewa wetu. Lakin nina amini kila kitu kina maelezo yake.
Atheist 25:6Psalm 14:1
"The fool hath said in his heart there is no God".
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?Muamini Mungu ili upate uthibitisho zaidi
naamini uwepo wa Munguhapo juu umemwita Kiranga na Infro, we upo upande gani? unaamini uwepo wa Mungu au hapana