First things first.
Umeuliza.
"Je, kitu kinaweza kutokea bila muumbaji?". Umeonesha kufikiri Mungu ni lazima awepo ili ulimwengu uwepo.
Kwanza hapa kuna a logical non sequitur fallacy. Kitu kinaweza kuumbwa bila muumbaji kuwa Mungu. Kwa hivyo kufikiri muumbaji lazima awe Mungu ni logical fallacy. Non sequitur logical fallacy.
Pia, hujaeleza ni kwa nini ulimwengu uwe umeumbwa, kwa nini ulimwengu wenyewe usiweze kuwa the uncaused cause bika kumuhitaji Mungu?
Kuna watu wanakataa dhana kwamba ulimwengu una mwanzo.
View: https://youtu.be/IR4u18dzewo?si=WfEpRBRQGsS-89QF
Lakini zaidi, unaji contradict.
Kama kila kilichopo kinahitaji muumbaji, hakiwezi kuwapo tu, Mungu naye ana muumbaji wake?
Hoja namba moja kiukweli ni hoja inayoonesha Mungu mjuzi wa vyote, muweza wa vyote, muumba wa kwanza ambaye hajaumbwa, hawezi kuwepo.
Kama hakuna kinachoweza kuwepo bila muumbaji, hata Mungu naye atahitaji kuwa na muumbaji, na akishakuwa na muumbaji wake, huyo si Mungu tena. Na muumbaji wake atahitaji muumbaji, mpaka infinity.
Hapo hakuna Mungu.
Ukisema Mungu ni special, yeye hahitaji muumbaji, kwanza umevunja kanuni yako kwamba kila kilichopo kinahitaji muumbaji, tena kwa special pleading logical fallacy.
Ukishasema tu kuwa ordered complexity cannot just arise out of nothing, it needs to be created by a greater oredered complexity, hapo Mungu muumba vyote hawezi kuwapo, kwa sababu na yeye atahitaji muumba, na muumba wake atahitaji muumba, ad infinitum, ad nauseam.
You can't escape this without a special pleading logical fallacy, which destroys your premise.
Ila wewe ni mjinga sana hujaelewa kuwa hiyo hoja unayoiweka kama utetezi wa kuwapo Mungu, kiukweli ni hoja ya kuonesha kuwa huyo Mungu hawezi kuwepo.
Huyo Mungu, kwa hoja hiyo, hawezi kuwepo bila ya special pleading logical fallacy.
Nikishaona mtu anaweka hoja kama hizi namuona mjinga tu anasumbuliwa na ukosefu wa elimu ya msingi kabisa ya mantiki.
Naona tabu hata kujadiliana naye, kwa sababu inawezekana kabisa hataelewa chochote nitakachomuambia.
Haelewi hata special pleading logical fallacy ni nini.
Unaelewa special pleading logical fallacy ni nini? Unaelewa infinite regression argument ni nini?
Haelewi kuwa hoja anayoiona ni ya kutetea uwepo wa Mungu, kimsingi, ni hoja ya kuonesha Mungu hawezi kuwapo.
Umekuwa kama mjinga ambaye haujui ujinga wake, maumivu anatupa sisi tunaouona ujinga huo.
There is a distance between your understanding and mine, and I am not sure I can close it.