Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Laanatullahi ninyi mliokimbia na misuli.Tulia dawa ikuingie . yule mzee laanatullahi amewaharibu akili kweli. mwisho akiwaimbisha eti mkimbize mwenge upate kumulika mchana.
Kama si akili za bangi ni kitu ganiππππ
We Mzee get your fact right. Kipindi Nyerere yupo madarakani aliyekuwa Cardinal ni Rugambwa na sio pengo.Ni kweli jengo kajengewa na amelala humo.
Alibaki kutumiwa na Wakoloni wa kiengereza na kuwa mtumwa wa kardinali pengo. usomi wote ule , na wale aliowasomesha ndio nyinyi na mwalimu wenu Profesa wa Juisi ya Madagascar , Mzee kabudiπππ
Akili Za Nyerere Na mtoto wake Magufuli zimepitwa Na wakatiUtaijua bangi gani kichwa kikitenganishwa.
Jiweke wazi tu, usiongelee kwapani.Akili Za Nyerere Na mtoto wake Magufuli zimepitwa Na wakati
Mkuu mijinga mijinga iko mingi humu mtandaoni kwa sasa.We Mzee get your fact right. Kipindi Nyerere yupo madarakani aliyekuwa Cardinal ni Rugambwa na sio pengo.
Aliponyweshwa ile champagne iliyompeleka kuzimu alimkumbuka PengoWe Mzee get your fact right. Kipindi Nyerere yupo madarakani aliyekuwa Cardinal ni Rugambwa na sio pengo.
Kumbe jamaa ni boya tu πππLissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.
Thereafter Mama alihamia kwa Binti yake mwingine hadi umauti ulipompata. Hawa watu wanachoweza ni kuchonga midomo tu. Kama huwezi kutawala Nyumba yako utawezaje kutawala umma mkubwa wa Tanzania
Jiweke wazi tu, usiongelee kwapani.
Tukijua uiko tutawatetea wahenga kwa shingo yako.
UsijisahauMkuu mijinga mijinga iko mingi humu mtandaoni kwa sasa.
Yale yale ya Magufuli aliiba 1.5Trillion πππ ushahidi hakuna zaidi ya propaganda tuAkazipeleka wapi??? km hata nyumba yake tu ya kuishi alijengewa kwa msaada wa jeshi!!...achene majungu!! By the way kwa nini mtu achukue Mali yako unamuangalia tu si upigane mpaka tone la mwisho la damu??
Mbona kreluu alipigana mpaka akaua! na akanyongwa live ! sasa kwa upande wako km mtu alizurumiwa na akatula basi aliridhika kuwa na yeye alidhurumu, hakustahili kumiliki Mali hiyo!
hata wewe kwanini hukusema wakt yupo?? wanachi wake waliomtuma kuwaongoza wamzodoe !! sasa nakwambia sema hapa hapa alimzurumu nani?? mie nimudishie mara saba make hela tuu ninazo!
Kwani iliundwa tume kuchunguza ?ikasema Si kweli?Yale yale ya Magufuli aliiba 1.5Trillion πππ ushahidi hakuna zaidi ya propaganda tu
Miye wa Mawalimu, siyo mijing mijing kama ninyi ya juzijuzi.Usiisahau Na yako Tu , Muulize Sabaya
Si kunywa dawa ya kuuwa panya umfuate Butiama?Miye wa Mawalimu, siyo mijing mijing kama ninyi ya juzijuzi.
Endelea kumnanga Mwalimu, na shingo yako halali yangu.
Si mngeunda hio tume sasa mlishindwa nini? Tanzanians a fiercly cowards. Mmekalia kulia lia tu!Kwani iliundwa tume kuchunguza ?ikasema Si kweli?
Hoovyoooo! Bootlicker mkubwa we! Kama uawapenda kazikwe nao basi.. walikuwa na mawazo ya kikale sanaJiweke wazi tu, usiongelee kwapani.
Tukijua uiko tutawatetea wahenga kwa shingo yako.
Bootlicker wakati mi navinjari na pakubwa na wewe unakaa makwapani huko ukinusa vyoo vya majirani?Hoovyoooo! Bootlicker mkubwa we! Kama uawapenda kazikwe nao basi.. walikuwa na mawazo ya kikale sana
Tee! tee! teee!!!....ndiyo maana ulikacha kusoma, Darasani kwa kuamini kuwa ile ni Elimu ya Dini ya Kristu ma-kafir Nyerereisms????β¦...mpaka leo unaamini ivo??...yaani Muarabu aliwakamata Pabaya!!ndiyo elimu ya nyerere hiyo
Alipora?? safi sana! ni haki yake kupora jambazi lililopora! si ndo nyie mliosema MUOSHWA HUOSHWA?? au hukusoma shule Mkuu!! ...ukitaka kula Lazima uliwe β¦.waambie watulie tu Dawa iwaingie!Si ndiyo mfumo mbovu aliouleta Nyerere ili apore mali za watu? Kaangalie tena video ya Lissu uelewe.