Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Tulia dawa ikuingie . yule mzee laanatullahi amewaharibu akili kweli. mwisho akiwaimbisha eti mkimbize mwenge upate kumulika mchana.
Kama si akili za bangi ni kitu gani😝😝😝😝
Laanatullahi ninyi mliokimbia na misuli.
Mnarudi sasa kwa mgongo wa sasa kumuharibia.
Sasa mnafikiri watu wamesahau, kichapi kitakuwa palepale, uziri wote mnajulikana mlipo.
 
Ni kweli jengo kajengewa na amelala humo.

Alibaki kutumiwa na Wakoloni wa kiengereza na kuwa mtumwa wa kardinali pengo. usomi wote ule , na wale aliowasomesha ndio nyinyi na mwalimu wenu Profesa wa Juisi ya Madagascar , Mzee kabudi😛😛😛
We Mzee get your fact right. Kipindi Nyerere yupo madarakani aliyekuwa Cardinal ni Rugambwa na sio pengo.
 
Lissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.

Thereafter Mama alihamia kwa Binti yake mwingine hadi umauti ulipompata. Hawa watu wanachoweza ni kuchonga midomo tu. Kama huwezi kutawala Nyumba yako utawezaje kutawala umma mkubwa wa Tanzania
Kumbe jamaa ni boya tu 😂😂😂
 
Akazipeleka wapi??? km hata nyumba yake tu ya kuishi alijengewa kwa msaada wa jeshi!!...achene majungu!! By the way kwa nini mtu achukue Mali yako unamuangalia tu si upigane mpaka tone la mwisho la damu??

Mbona kreluu alipigana mpaka akaua! na akanyongwa live ! sasa kwa upande wako km mtu alizurumiwa na akatula basi aliridhika kuwa na yeye alidhurumu, hakustahili kumiliki Mali hiyo!

hata wewe kwanini hukusema wakt yupo?? wanachi wake waliomtuma kuwaongoza wamzodoe !! sasa nakwambia sema hapa hapa alimzurumu nani?? mie nimudishie mara saba make hela tuu ninazo!
Yale yale ya Magufuli aliiba 1.5Trillion 😂😂😂 ushahidi hakuna zaidi ya propaganda tu
 
Kile kilikizo cha Nyerere mwaka 1962 kumbe ulikuwa uongi tupu.... Nyerere was such a fraud...

Chama kimeshinda uchaguzi kimechukua nchi halafu Mwenyekiti baada ya kuapishwa Urais eti anaondoka anaenda kuimarisha chama! Kimedhoofika saa ngapi?

Kumbe kashindwa kupitisha li sheria bungeni anaenda kuandaa white paper ya Katiba ya Kidokte...

I never thought about the nonsense of that narrative....
 
ndiyo elimu ya nyerere hiyo
Tee! tee! teee!!!....ndiyo maana ulikacha kusoma, Darasani kwa kuamini kuwa ile ni Elimu ya Dini ya Kristu ma-kafir Nyerereisms????…...mpaka leo unaamini ivo??...yaani Muarabu aliwakamata Pabaya!!

Tulia tu muongozwe/na mlishwe/muogeshwe/ sasa tunakuja huko kuwaoshea nuruwe wenu! si amri???ila mtauza tu! mpate hela ya kwenda uarabuni! Mkabaguliwe vizuri, mukakamuliwe Mavi hayo na waarabu mpaka mlie poo!!!

Tena mie naona sawa tu, nendeni mkakamuliwe! make nyie ni wasaliti, mnafuata Dini za Wauza Binadamu watumwaaa! tena wanakudharuni sana....... na mbingu yao nyie hamkanyagi ng'ooo! jipendekezeni tu!

Rudi huku weye MMatengo/na mkeo mdengereko huyo! mfuate Diniza mababu zenu! wenzenu wamestuka kitambooo!!...hata ufanyeje Muarabu koko!

kamwe hata kupenda japo mna Damu yao! vitukuu vyenu hao hesabuni kuwa mmepoteza damu bure!! mkienda tu mnauzwa tena make uislamu unaruhusu! safari hii mtauzwa Musoma make Ulaya hawataki tena!
 
Si ndiyo mfumo mbovu aliouleta Nyerere ili apore mali za watu? Kaangalie tena video ya Lissu uelewe.
Alipora?? safi sana! ni haki yake kupora jambazi lililopora! si ndo nyie mliosema MUOSHWA HUOSHWA?? au hukusoma shule Mkuu!! ...ukitaka kula Lazima uliwe ….waambie watulie tu Dawa iwaingie!

yule hakupora alichukua chake kilicho potea!! hizo mali walipata wapi wkt ni nguvu za wasukuma wa Bara??...ombeni ivoivo ..nisije kamata Dola ya Zanzibar yaani Mtaomba kuhama!

washikeni sharubu vizuri tu na kuwachezeeni hao hao! Babu na Bibi zenu!....lkn nikija huko mie hee! mchaka mchaka wake! heee! ni mjipange!! hamta nisahau!
 
Back
Top Bottom