Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Laanatullahi ninyi mliokimbia na misuli.Tulia dawa ikuingie . yule mzee laanatullahi amewaharibu akili kweli. mwisho akiwaimbisha eti mkimbize mwenge upate kumulika mchana.
Kama si akili za bangi ni kitu gani😝😝😝😝
Mnarudi sasa kwa mgongo wa sasa kumuharibia.
Sasa mnafikiri watu wamesahau, kichapi kitakuwa palepale, uziri wote mnajulikana mlipo.