Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
-
- #41
Absolutely truth Mungu anasema alinijua toka tumboni mwa mama yangu hata before the universe bro so haibadilishi chochote hata ningezaliwa wapi ninachoamini ni Mungu mmoja tu. Ndo maana kanisa katoliki linaheshimu imani za watu wengine as long as they believe in one GodManeno yanayodaiwa kwamba ni ya Mungu ni mengi sana.
Kuna Biblia ya wakristo wanadai ni neno la Mungu.
Kuna Rastafar Bible ya Rastafarians.
Kuna Quran ya waislamu wanadai ni neno la Mungu.
Kuna Torah ya wayahudi wanadai ni neno la Mungu.
Kuna The Vedas ya wahindu wanadai ni neno la Mungu.
Kuna Tripitaka ya wabudha wanadai ni neno la Mungu.
Kuna The Guru Granth Sahib ya wasikhism wanadai ni neno la Mungu.
Kuna The Kojik ya washinto kule Japan na wao wanadai ni neno la Mungu.
Sasa kati ya vitabu vyote hivi, Neno lipi ni Neno la Mungu kweli?
Najua utasema Biblia kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa tangu utotoni mwako.
Vivyo hivyo, Ungezaliwa kwa wayahudi ungesema Torah ndilo neno la Mungu, Ungezaliwa na kulelewa kwenye Uislamu ungesema Quran, Ungezaliwa kwa wahindu, Ungesema The Vedas.
Maneno yanayodaiwa kwamba ni ya Mungu ni mengi sana.
Kuna Biblia ya wakristo wanadai ni neno la Mungu.
Kuna Rastafar Bible ya Rastafarians.
Kuna Quran ya waislamu wanadai ni neno la Mungu.
Kuna Torah ya wayahudi wanadai ni neno la Mungu.
Kuna The Vedas ya wahindu wanadai ni neno la Mungu.
Kuna Tripitaka ya wabudha wanadai ni neno la Mungu.
Kuna The Guru Granth Sahib ya wasikhism wanadai ni neno la Mungu.
Kuna The Kojik ya washinto kule Japan na wao wanadai ni neno la Mungu.
Sasa kati ya vitabu vyote hivi, Neno lipi ni Neno la Mungu kweli?
Najua utasema Biblia kwa vile ndivyo ulivyo aminishwa tangu utotoni mwako.
Vivyo hivyo, Ungezaliwa kwa wayahudi ungesema Torah ndilo neno la Mungu, Ungezaliwa na kulelewa kwenye Uislamu ungesema Quran, Ungezaliwa kwa wahindu, Ungesema The Vedas.
Kwa hiyo kama kuamuru si lazima kuwe na uhitaji wa anayetoa amri, Hiyo amri inajitoa yenyewe tu, pasipo yeyote wa kuitoa?Bado unachanganya maana ya "kuhitaji" na "kuamuru". Kuamuru si lazima kuwe na uhitaji wa anayetoa amri.
Una elewa maana ya kuamuru?Mwalimu anaweza kumwamuru mwanafunzi asome, lakini si kwa sababu mwalimu anahitaji kusoma kwa niaba yake; ni kwa faida ya mwanafunzi.
Agizo ni amri.Pia, hata daktari anaweza kutoa maagizo ya matibabu, si lazima iwe "ushauri" tu. Mgonjwa ana uhuru wa kukataa, lakini ukweli wa ushauri au agizo hauondoki.
Mwanadamu anahitaji wapi huo uhusiano na huyo Mungu?Kwa mtazamo wa dini, amri ya Mungu ya kuamini si kwa sababu Mungu ana upungufu unaojazwa na imani ya mwanadamu, bali kwa sababu mwanadamu ndiye anayehitaji uhusiano na Muumba wake.
Mungu gani mmoja, Anakuwa na vitabu vingi vinavyo tofautiana maelezo?Absolutely truth Mungu anasema alinijua toka tumboni mwa mama yangu hata before the universe bro so haibadilishi chochote hata ningezaliwa wapi ninachoamini ni Mungu mmoja tu. Ndo maana kanisa katoliki linaheshimu imani za watu wengine as long as they believe one God
Mungu siyo dharimu na hata achague watu wa kumuabudu. Injili lazima ihubiriwe kwa kila kiumbeMungu gani mmoja, Anakuwa na vitabu vingi vinavyo tofautiana maelezo?
Kama kweli huyo Mungu ni mmoja, Kwa nini hana kitabu kimoja tu, kwa watu wote duniani kote?
Kwa hiyo kama kuamuru si lazima kuwe na uhitaji wa anayetoa amri, Hiyo amri inajitoa yenyewe tu, pasipo yeyote wa kuitoa?
Amri inawezaje kujitoa yenyewe pasipo kutolewa?
Una elewa maana ya kuamuru?
Kuamuru ni kutoa amri. YAANI kushurutisha.
Na huyo anayetolewa amri hana uhuru wala hiari ya kupinga au kukataa.
Ndio maana ya amri, kuamuru.
Mwalimu anaweza kumshauri mwanafunzi asome. Na mwanafunzi ana uhuru na hiari ya kuchagua kusoma ama kutokusoma.
Mwalimu akiamuru mwanafunzi asome, mwanafunzi anakuwa hana hiari wala uhuru wa kukataa au kupinga. Kwa sababu ni Amri. Mwanafunzi ameamrishwa.
Sasa wewe unachanganya mara faida za kusoma wakati huelewi hata tofauti kati ya kuamuru na kushauri.
Agizo ni amri.
Ushauri si amri.
Daktari haagizi.
Daktari anashauri.
Ndio maana utasikia watu wakisema, Madaktari wanashauri watu wapunguze Pombe.
Na sio Madaktari wana agiza watu wapunguze pombe.
Daktari HATOI agizo.
Daktari ANATOA ushauri.
Do you understand?
Una elewa Kiswahili?
Mwanadamu anahitaji wapi huo uhusiano na huyo Mungu?
Mimi ni mwanadamu na wala sihitaji huo uhusiano.
Wewe huo uhusiano na huyo Mungu, Unauhitaji kwenye nini?
Sasa kipi ni sahihi?Ni kweli kuna vitabu vingi vinavyodai kuwa vya Mungu, lakini wingi wa madai hauonyeshi kwamba yote ni sahihi au yote ni uongo.
Unathibitishaje dai lako lina Ushahidi bora kuliko dai la mwingine?Kuzaliwa katika familia fulani kunaweza kuathiri mtu, lakini ukweli haupimwi kwa mahali alipozaliwa. Unapimwa kwa ushahidi, mantiki na kuchunguza madai yenyewe.
Swali si "umelelewa wapi?" bali "ni dai gani lina ushahidi bora?"
Sasa kipi ni sahihi?
Na kipi si sahihi?
Maana vyote kwa pamoja haviwezi kuwa sahihi.
Unathibitishaje dai lako lina Ushahidi bora kuliko dai la mwingine?
Muislamu Akisema Quran ya Allah ndilo neno pekee la Mungu, Utamthibitishiaje kwamba dai lako la Biblia ndilo dai bora sana?
Muislamu akikuhubiria Quran ya Mungu wake Allah, utasikiliza na kukubali mafundisho ya Quran kwa kigezo hichohicho kwamba injili lazima ihubiriwe?Mungu siyo dharimu na hata achague watu wa kumuabudu. Injili lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe
Kwa taarifa yako wakristu waliopo uarabuni wanatumia lugha ya kiarabu ambapo Mungu wanamuita AllahMuislamu akikuhubiria Quran ya Mungu wake Allah, utasikiliza na kukubali mafundisho ya Quran kwa kigezo hichohicho kwamba injili lazima ihubiriwe?
Au utakumbatia mafundisho yako ya Biblia uliyoaminishwa tangu utotoni na kukataa Quran?
Maana kila jamii ya watu ina injili zao na vitabu vyao.
Sasa hiyo injili yako ya Biblia unayotaka ihubiriwe kwa kila kiumbe, Haina U-Special wowote ule.
Na injili uliyoaminishwa wewe tu na wakristo wenzako.
Wala si injili ya kila kiumbe.
Huyo Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na madai yote haya.Hilo ndilo swali sahihi:
si "umezaliwa wapi", bali "ni dai gani lina ushahidi bora?"
Lakini jibu lake halipatikani kwa kusema tu "kuna vitabu vingi". Inabidi kila dai lichunguzwe: chanzo chake, ujumbe wake, uthabiti wake, historia yake na kama linaendana na ukweli.
Muislamu akisema Qurani ni neno la Mungu, na Mkristo akisema Biblia ni neno la Mungu, wote wana wajibu wa kutoa hoja za madai yao. Hakuna kitabu kinakuwa sahihi kwa sababu tu familia yako imekufundisha hivyo.
Kwa hiyo hoja si kubishana kwa majina ya vitabu, bali ni kuchunguza: ni ujumbe upi una ushahidi wenye nguvu zaidi na unaoeleza ukweli kwa uthabiti zaidi.
Wakristo hudai Yesu ni Mungu.Kwa taarifa yako wakristu waliopo uarabuni wanatumia lugha ya kiarabu ambapo Mungu wanamuita Allah
Huyo Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na madai yote haya.
Kila mtu angejua Mungu huyo yupo kwa uhakika kabisa na uthibitisho bila madai na bila imani.
Ukiona kuna madai na imani ya mtu A na mtu B.
Na watu wawili hawa "A na B". Wote wanadai na kuamini kitu hicho hicho katika mitazamo tofauti. Kitu hicho hakipo. Ndio maana kinaleta utofauti.
Mungu huyo angekuwepo wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.
Kila mtu angejua Mungu huyo yupo kwa uhakika kabisa BILA KUHITAJI IMANI.
Ila unaamini za mtu kupanda buraq na kwenda kuonana na Mungu mbingu ya saba na kurudisha swala Tano!Stori za vijiweni kipindi hicho huko galilaya
As long as they believe in one God sina shida naoWakristo hudai Yesu ni Mungu.
Kama Yesu ni Mungu.
Na Wakristo wa Uarabuni wanamuita Mungu, Allah.
Kwa hiyo, Kwa wakristo wa Uarabuni Yesu ni Allah?
Kwa vile tu, Mungu wao wanamuita Allah?
Unaijua Burden of proof philosophy?Hilo hitimisho lako si lazima iwe kweli. Tofauti za madai hazithibitishi kwamba kitu hakipo.
Kuna watu wanadai dunia ni tambarare na wengine ni duara; je, uwepo wa mabishano unathibitisha dunia haipo? Hapana. Inaonyesha tu kuna madai yanayohitaji kuchunguzwa.
Pia kuchanganya "kujua" na "kuamini" ni kosa. Hata mambo mengi tunayoyajua yanategemea ushahidi na tafsiri ya akili. Watu wanaweza kuona ushahidi mmoja na kufikia hitimisho tofauti.
Kusema "kama Mungu angekuwepo kila mtu angeamini" ni dhana yako, si ushahidi. Hoja ni kuonyesha kwa nini Mungu hayupo, si kudhani kutokubaliana kwa watu ni uthibitisho wa kutokuwepo.
Ila unaamini za mtu kupanda buraq na kwenda kuonana na Mungu mbingu ya saba na kurudisha swala Tano!
Dini za IBRAHIM ni utapeli!
Unaijua Burden of proof philosophy?
One God, anaaminiwaje katika imani nyingi zinazopingana zenyewe kwa zenyewe?As long as they believe in one God sina shida nao