One God, anaaminiwaje katika imani nyingi zinazopingana zenyewe kwa zenyewe?
Muislamu haamini Yesu ni Mungu. Pia haamini Yesu ni mkombozi.
Wewe mkristo huamini, Mtume Muhammad S.A.W ni mtume wa Mungu?
Sasa kuna One God hapa?
Au kila mtu Na God wake?
Dai la kwamba Mungu yupo halina uthibitisho.Ndiyo naijua , burden of proof ni kanuni inayosema anayetoa dai ndiye mwenye jukumu la kutoa ushahidi wa dai lake.
Lakini kanuni hiyo inafanya kazi pande zote.
Mtu anayesema "Mungu yupo" anatakiwa kueleza hoja zake, na mtu anayesema "Mungu hayupo" pia anatoa dai linalohitaji hoja.
Kutokubali ushahidi wa mtu si sawa na kuthibitisha kinyume chake. Jadiliano linahitaji pande zote kueleza msingi wa madai yao, si upande mmoja tu.
Bora huyo anayeamini One God wewe ambaye upo upo tu mkuu uliyekosa mwelekeo una contradictions paradox hujui kipi ni kipiOne God, anaaminiwaje katika imani nyingi zinazopingana zenyewe kwa zenyewe?
Muislamu haamini Yesu ni Mungu. Pia haamini Yesu ni mkombozi.
Wewe mkristo huamini, Mtume Muhammad S.A.W ni mtume wa Mungu?
Sasa kuna One God hapa?
Au kila mtu Na God wake?
Kwanza hakuna Mungu Muumba.Kuwepo kwa mitazamo tofauti hakumaanishi moja kwa moja kuna "miungu tofauti". Watu wanaweza kutofautiana kuhusu ukweli wa jambo moja.
Mfano, watu wanaweza kuwa na maoni tofauti kuhusu historia, sayansi au siasa, lakini mada wanayoijadili inaweza kuwa ni ileile.
Katika dini za Ibrahimu, wengi wanadai wanamzungumzia Mungu mmoja , Muumba. Tofauti ipo kwenye swali la: Mungu huyo amejifunua vipi, nani ni Mitume wake, na mafundisho gani ni sahihi.
Kwa hiyo hoja si "kuna Mungu wangapi kwa sababu watu hawakubaliani?" bali "ni dai gani lina ushahidi bora kuhusu huyo Mungu mmoja?"
Halafu philosophy yako haifikii hata robo ya St.Thomas of Aquinas na St.Augustino of HippoDai la kwamba Mungu yupo halina uthibitisho.
Na kwenye Burden of proof philosophy kuna kanuni inasema kwamba;
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
Chochote kinachodaiwa kipo bila ushahidi wala uthibitisho, Kinaweza kutupiliwa mbali bila ushahidi wala uthibitisho.
Dai la kwamba "Mungu yupo" halina ushahidi wala uthibitisho.
Ukibisha, Thibitisha Mungu yupo.
Vinginevyo, Dai la kwamba Mungu yupo linatupiliwa mbali. Kwa sababu huna ushahidi wala uthibitisho.
Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Dai lako ni la Uongo.
Mwelekeo ni nini?Bora huyo anayeamini One God wewe ambaye upo upo tu mkuu uliyekosa mwelekeo una contradictions paradox hujui kipi ni kipi
Leo tunataka tukutoe huko uvae utu upya utoe mawazo ya kiatheistMwelekeo ni nini?
Kuamini Mungu na uelekeo kuna husiana vipi?
Kutokuamini Mungu na uelekeo kuna husiana vipi?
Hii ni fallacy inaitwa Appeal to Authority.Halafu philosophy yako haifikii hata robo ya St.Thomas of Aquinas na St.Augustino of Hippo
Atheist ni mtu asiyekuwa na imani ya aina yoyote ile ya Mungu au miungu.Leo tunataka tukutoe huko uvae utu upya utoe mawazo ya kiatheist
Binafsi tafsiri niliyonayo ndio hiyo..Asante kwa kunukuu Injili ya Luka 17:21. Hata hivyo, aya hiyo inahitaji kusomwa katika muktadha wake. Yesu alikuwa anazungumza na Mafarisayo waliokuwa wanamuuliza kuhusu kuja kwa Ufalme wa Mungu.
Tafsiri ya maneno ya Kigiriki "entos hymōn" inaweza kumaanisha "katikati yenu" (in your midst) au "ndani yenu" (within you). Wanazuoni wengi wa Biblia huelewa kwamba hapa Yesu alikuwa akimaanisha Ufalme wa Mungu ulikuwa katikati yao kwa sababu yeye, mjumbe wa Mungu, alikuwa miongoni mwao.
Pia, ni vigumu kuelewa "umo ndani yenu" kwa maana ya ndani ya mioyo ya Mafarisayo, kwa kuwa Yesu aliwakosoa mara nyingi kwa unafiki na kutokuamini (tazama Injili ya Mathayo). Je, ingewezekanaje kusema Ufalme wa Mungu ulikuwa ndani ya watu aliowaita wanafiki?
Aidha, katika sehemu nyingine Yesu alifundisha:
"Baba yetu uliye mbinguni... Ufalme wako uje." (Injili ya Mathayo 6:10)
Pia alizungumza kuhusu watu kuurithi Ufalme wa Mungu siku zijazo (Injili ya Mathayo 25:34).
Hivyo, Luka 17:21 haiifuti dhana kwamba Ufalme wa Mungu utakuja; inaonyesha kwamba hauji kwa namna ambayo watu walikuwa wanaitarajia kisiasa au kwa ishara za nje, na kwamba wakati huo ulikuwa tayari katikati yao kupitia utume wa Yesu.
Swali kwako :
Je, unafikiri Yesu alikuwa akiwaambia Mafarisayo kwamba Ufalme wa Mungu ulikuwa ndani ya mioyo yao, ilhali aliwakosoa kwa kutokuamini na unafiki?
Au alikuwa akimaanisha kwamba Ufalme ulikuwa katikati yao kupitia uwepo wake?
Imeandikwa aya gani hii mada?Ila unaamini za mtu kupanda buraq na kwenda kuonana na Mungu mbingu ya saba na kurudisha swala Tano!
Dini za IBRAHIM ni utapeli!
Kama hujalala twende kwa waziri mkuuKwamba?
Anagawa nini?Kama hujalala twende kwa waziri mkuu
sawa iyo iyo philosophy inasema uwezi SEMA kitu akipo mda umekitaja tena,Mfano unadai Mungu ayupo mda umemtaja iyo Hali Ina halalisha existence ya kitu.Dai la kwamba Mungu yupo halina uthibitisho.
Na kwenye Burden of proof philosophy kuna kanuni inasema kwamba;
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
Chochote kinachodaiwa kipo bila ushahidi wala uthibitisho, Kinaweza kutupiliwa mbali bila ushahidi wala uthibitisho.
Dai la kwamba "Mungu yupo" halina ushahidi wala uthibitisho.
Ukibisha, Thibitisha Mungu yupo.
Vinginevyo, Dai la kwamba Mungu yupo linatupiliwa mbali. Kwa sababu huna ushahidi wala uthibitisho.
Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Dai lako ni la Uongo.
Ufalme wa Mungu u ndani mwakoImeandikwa aya gani hii mada?
Acha upumbavuUfalme wa Mungu u ndani mwako
PmAnagawa nini?