peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hawa wamama kazi yao ni kwenda kuomba na kukopa.Salaam Wakuu,
Nadhani Walinzi walitakiwa Kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania sio Zanzibar kwani, hii ni Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakuambatana na Mwinyi ndo wavae hizi Bara K.
Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi. Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea Kituo hicho leo tarehe 12 Februari, 2022, Paris nchini Ufaransa)
View attachment 2117285View attachment 2117286
Nani atakuja kulipa hayo madeni? Ni Nani amewatuma kwenda kukopa?