Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

Hawa wamama kazi yao ni kwenda kuomba na kukopa.
Nani atakuja kulipa hayo madeni? Ni Nani amewatuma kwenda kukopa?
 
Bara hamjitambui. Mmekalia majungu, fitina na inda. Hakuna jambo linalowaweka pamoja watu wa bara.

Lkn wazanzibari linapokuja suala linalohusu nchi yao hawanaga uvyama. Wote wanaungana wanakuwa kitu kimoja

Acha wachangamkie fursa ya kuitangazq zanzt kupitia barakoa zao. Ninyi endeleeni na upuuzi wenu wa kumsingizia Mbowe kuwa ni gaidi.
 
Hawa wamama kazi yao ni kwenda kuomba na kukopa.
Nani atakuja kulipa hayo madeni? Ni Nani amewatuma kwenda kukopa?
aliyewaweka madarakani. 🇾 🇪 🇾 🇪 
🇸 🇮 🇲 🇼 🇦 🇰 🇮 🇱 🇮 🇸 🇭 🇮 
 
Alaa kumbe siku hizi inaitwa ZanzT? Na Tanganyika mnaiita je?
 
Mshazoea CCM mbele kwa mbele... au Chato mbele kwa mbele...

Sasa ni Zanzibar mbele kwa mbele...
 
Na wajinga kama kawaida wanadandia kama ni hoja ya maana kwenye mustakabal wa maendeleo ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…