Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Unapaswa wakati mwingine kutumia akili wewe bibi, maana unaposema wakristo wako wa madhehebu tofauti na kila mmoja wana utaratibu wao, sasa embu jaribu kutafuta dhebu kama , KKKT, Roma Catholic, Anglicana, TAG, Wasabato, alafu uone kama wanafanya huo ujinga unaojaribu kuwaaminisha watu hapa, ni sawa na kusema mambo anayofanya muumini wa kiislamu wa dhehebu la Suni, Shia, au hao wengine useme kuwa wanafanana,
Acha ujinga wewe bibi unajikuta unajua kumbe hujui lolote zaidi ya ujinga wako tuu
 
Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya hazitavaliwa tena shuleni."[emoji419][emoji375]
Hii point yake ina mashiko haswa!
 
Hujataja mwaka taja mwaka kama humu wapo waseme ilikuwaje?

However zipo ishara za kiimani zisizojulikana kwa kumtazama mtu mfano mwislam akivaa tasbih Mkristo akavaa razari sioni anasababisha taharuki gani tofauti na mavazi na kofia.
 
nilikutana na kahaba mmoja kavaa kidini, ikafika muda fulani akavua hilo vazi akabaki na mavazi ya kikahaba nilibaki kushangaa nimekutana na mtu au jini?
Wengi wako hivyo, ukitaka ona maajabu nenda uswahilini uone wanaofanya vituko dini gani
 
Kule Berlin 1884 wwalipogawana keki juu ya meza si Muislam ndiyo alikuwa anaikatakata, au siyo?

Hivi Italy ilimuwakilisha nani kwenye ule mgao?
Faiza Foxy kwa nini kila nyanja huachi kunasibisha uislam hapo? Ina maana hujui uislam ni imani kama ukomunisti, ujamaa na ubepari? Unafikiri uislam unaweza kushindana na ubepari? Mabepari yaligawana bara la afrika ufaransa ikajikuta inapata hayo makoloni yenye waislam. Waislam hawawezi kushindana na ubepari watashindwa vibaya sana
 
Hao nao hawana tofauti na wale mnaowa-brain wash kwenye nyumba zenu za kuabudu mkiwaaminisha wakauwe watu wa dini tofauti na ya kwenu mkiwadanganya kwamba wakifika kwa alaah watapewa bikra 70+ na pombe!

Toka jana tupo humu unapambana kueneza dini yako kwa kubadilisha content ya nyuzi.
 
Haya ndio mavazi gani mkuu? Weka picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…