Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

Duu makubwa haya kweli ibilisi yupo kazini

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Waislam wakiwa katika nchi za watu wanadai democratia kuomba uhuru wa kuanzisha dini Yao na mambo mengine Yao
Wakiwa katika nchi zao hakuna democracy
Wakati wamekimbia makwao, kwanini wasikae makwao ili waitekereze hiyo imani yao? Halafu hawakimbilii kwa wenzao kiguu na njia Ulaya na USA ha ha ha ha

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wanawazuia wanawake wasisome, na wakati huo huo wanataka wanawake watibiwe na wanawake wenzao ukisikia akili kisoda ndiyo hizo sasa watatoka wapi hao ma Dr !

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
ndio hilo neno lipo kwenye biblia, hata wewe unaitwa kafiri
Kwani chizi ana maoni gani juu ya wale walio wazima ? bila shaka anawaona machizi .

Mimi siwezi kupanic nikiitwa hivyo najua sio Kafir ila ukimuita Mgalatia lazima aweweseke.
 
Hao hawana akili mavazi kama hijab na anaya hakuna sababu yeyote ya kuzuia na hayana negative impact yeyote ile.Ma Rass nao wataambiwa wanyoe ? maana kufaga rasta ni nembo yao.

Kuhusu kuondoka hilo ni jukumu la muislamu akiona mahala popote anabanwa katika kuifuata dini yake ,fitna na mtihani ni mingi ni bora kuondoka hilo halina mjadala.
 
Kwani chizi ana maonibgani juu ya wale walio wazima ? bila shaka anawaona machizi .

Mimi siwezi kupanic nikiitwa hivyo najua sio Kafir ila ukimuita Mgalatia lazima aweweseke.
kama jinsi wewe unavyojiona ni mtukufu katika uislam wako na wengine wanajiona ni watakatifu katika ukristo wao. Huwezi kuwaita kafiri wakati nawe unaonekana ni kafiri machoni pao, ishia kuwaita wagalatia kama mnavyowaita inatosha. Halafu mbona budha na hindu huwa hamna ligi nao, vipi huko sheikh?
 
Waislam wakiwa katika nchi za watu wanadai democratia kuomba uhuru wa kuanzisha dini Yao na mambo mengine Yao
Wakiwa katika nchi zao hakuna democracy
Waulize swali hili wanawake wa Afghanistan
 
Angalia nchi za kiislamu zinavyopigwa vita na wasiokuwa waislamu, nchi kama Syria, Israel, Afghanistan, Yemen na Libya. Zote hizi zimefanyiwa chokochoko na wasiokuwa waislamu. Njooni kwenye uislamu
tangu lini israel imekuwa nchi ya kiislam, au ulimaanisha iran/iraq? israel ni nchi ya kiyahudi/zayuni na hizo nchi za kiislam ni maadui zake, zingine zilipigwa zikashindwa ikabidi zitiliane saini mikataba ya amani. Makundi mengi ya kigaidi duniani ni ya kiislam. Wapi ulisikia kuna makundi tishio ya kigaidi duniani yanayojinasibu ni ya kikristo, christian state? Wapi ulisikia wanamgambo wa kikristo? Chokochoko zipo kwa waislam tu wakristo hawana mambo ya shari na ugomvi, ni wapole na wanyenyekevu
 
Waondokeeee??[emoji1787][emoji1787] Waende wapi?

Warudi Tehran,Pakistan, Afghanistan, Syria, Yemen?

Nani anataka kuishi huko mzee? Hamna mtu mwenye ndoto ya kuishi nchi ya kiislam. Hata wewe ukiambiwa uchague Iran/Afghanistan au France/Sweeden utachagua kuishi France/Sweeden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…