Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

Hili nalo neno ,sikumbuki km kulipatikana explanations kutoka kwa wataalamu ukute ilikuwa hii CARINA ila kutokana na Race yetu hazikuwa that much serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wivu...wajifunze uvumilivu wa kifo.

Africans, tunayo magonjwa ya kutosha...
Malaria, TB, HIV, Ebola, Typhoid, UTI, Hepatitises, ukichanganya na chuma ulete, wachawi, manabii feki, wanasiasa uchwara, ...

Everyday is Saturday................. 😎
 
Hahahaha, waache wafe hao wazungu! hawamjui Mungu!
kilio na maombolezo kwa mapokezano.

Mungu yuko upande wetu, leo BBC imetangaza mgonjwa wa mwisho wa Ebola nchini Drc ameruhusiwa. ni.

muda wa kukaa stuli ndegu tukishuhudia mtanange wa covid kwa mabeberu.

nilijua tu roho lazima ziwaume, walijua Afrika ikiguswa inafagia hadi mayai na ndio ulikuwa mwisho wa race yetu. maana kwa jinsi ulivyowatesa weupe hakuna msaada tungepewa. wangetususia tukajifia kama nzige.

hatahivyo, afrika inapaswa iamke na kujiweka tayari kwa mapambano. kupitia covid 19; tuchukue tahadhari. litakuja kuibuka au kutengenezwa balaa jipya la kirusi maalumu kwa ajili ya mwafrika (mfano wa ebola) kikasambazwa na mabeberu makusudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…