Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -
 
Attachments

  • IMG_20250405_091814_674.jpg
    IMG_20250405_091814_674.jpg
    28.5 KB · Views: 29
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -
Democracy itakwisha lini? - Warioba
 
Mtoa mada unaonaje na uchaguz usikuwepo wabaki mafisiem peke yake
 
Kuna vyama 19 ulingoni, chadema ni kimoja tu, ndicho kilichogoma, sasa shida ipo wapi, just quit away tusonge mbele!
 
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -
Sasa hivi posho mmeongezewa au bado mnalipwa ileile buku7?
 
Hivi ni lazima uchangie kama unajijua huna akili za kutosha?
 
🚮
 
Nachukizwa na harakati za chadema za kijinga kabisa, ndio maana nikaomba huyo aachiwe najua ni mropokaji mwenye tatizo la kiakili,kama mimi.
 
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -
Nyie ndio mnaotakiwa siku moja msimame pale icc kutoa ushuhuda wa uratibu wenu wa chuki kwa wengine.
 
Infact chadema ikae pembeni tu, no way out, tusonge na Vyama 18 vilivyopo!
MSAJILI ATOE NENO MOJA HARAKATI ZIKOME!, WAKASHINDANE MAHAKAMANI.
Siasa si kushiriki chaguzi za kuhuni. Kama mlidhani mtaendelea kuburuza watu kwa kushiriki chaguzi za kihuni, basi mmekwama.
 
Back
Top Bottom