Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

Ila unafurahishwa na ccm kutawala kwa shuruti!
Kazi iliyobaki ni msajili aipige chadema ban, kushiriki hata kuhutubia iwe mwiko, watakimbilia mahakamani, basi wakashindane humo mpaka 2030
Ispokuwa ombi langu lissu mlevi mwenzangu wamsamehe tu, kwa utu wa watu wenye utu.
 
Mkuu tumekwama wapi? Enumerate
Hatuko tayari kushiriki chaguzi za kihuni tena. Miaka zaidi ya 30 tunataka uwanja wa ushindani uwe wa haki, hamtaki, na bado mnataka tuendelee kushiriki kama mazombie?
 
Kazi iliyobaki ni msajili aipige chadema ban, kushiriki hata kuhutubia iwe mwiko, watakimbilia mahakamani, basi wakashindane humo mpaka 2030
Ispokuwa ombi langu lissu mlevi mwenzangu wamsamehe tu, kwa utu wa watu wenye utu.
Aipige ban ccm maana ndio imeshindwa kufanya siasa za haki, inataka kubebwa tu na vyombo vya dola. Lisu hahitaji huruma za majizi, anataka haki kwenye chaguzi basi.
 
Haki anayoitafuta ni Ile ya,
-Mezani? AU
-Uasi?
N. B, Ya mezani inawezekana lakini Ile ya Uasi, ya tuchinjane Ile NO.
 
Tuchinjane wapi? Acheni kutoa tafsiri potofu ili msitende haki. Kilio cha Lisu ni haki kutendeka kwenye chaguzi, labda useme haki itapelekea kuchinjana.
 
Chadema kufungiwa kutoshiriki uchaguzi wala si big deal.
Anaweza switch kwenye chama kingine na akashiriki na akashinda vilevile.
 
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -
Ulitaka wa sign ujinga!
No Reforms No Election 🔥
 
Mimi siyo mtaalam wa sheria. Ila ninacho fahamu Katiba ya nchi ndiyo iko juu ya sheria na kanuni zote ndani ya nchi.

Sasa kama Katiba ina ruhusu uhuru wa wananchi kwenye mambo mabalimbali, yakiwemo hayo ya kuchagua na kuchaguliwa! Je, hizo takataka zenu zinazoitwa kanuni za maadili, zina nguvu kiasi gani cha kufikia hatua ya kuwa juu ya Katiba ya nchi?

Mimi nadhani tuwe tunajitahidi wakati fulani kutumia vizuri akili zetu za kuzaliwa. Na pia tupunguze mihemko na ubinafsi wa kijinga. Hii nchi siyo mali yenu! Ni ya kwetu sote.
 
Wengi wanasema hivyo lakini haipo hivyo mkuu, Tume imepewa mamlaka kubwa kabisa kabisa, kiasi maamuzi yake hayaingiliwi na mamlaka yoyote yale!, note that!
Tumwombee lissu, ili aweze kuachiwa kwa huruma ya Amiri jeshi mkuu!, Lissu ni mlevi mwenzetu. Asamehewe tu.
 
Subirini sin
Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -

Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani,
::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na muamana naye, waende mahakamani kuona jinsi watakavyoweza kujirudisha kwenye Uchaguzi 2025.
N. B,
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
-------(kata funua) - - - - - - -
Subilini Sindano ziwaingie
 
Kwa sasa chadema kwa kuwa ilisha kataa suala la kanuni za uchaguzi basi ikae pembeni na isiruhusiwe kufanya harakati za kisiasa, mpaka pale itakaposhinda shauri lake mahakamani kuhusu kukataa kasaini kanuni za uchaguzi.
Umeshawahi kuona content yake?
 
Infact chadema ikae pembeni tu, no way out, tusonge na Vyama 18 vilivyopo!
MSAJILI ATOE NENO MOJA HARAKATI ZIKOME!, WAKASHINDANE MAHAKAMANI.
Vyama sasa hivi ni 20 Vyama 19 vinajulikana Chama cha 20 ni Mapolisi.
 
Tume imepewa mamlaka kubwa kabisa kabisa, kiasi maamuzi yake hayaingiliwi na mamlaka yoyote yale!, note that!
Kwamba Tume ina mamlaka juu ya Katiba ya nchi?
Kama ndivyo huko ndiyo kusigina Katiba. Katiba ni supreme, sheria yoyote inayokinzana na Katiba ni batili
 
Chadema walipokataa kushiriki uchaguzi wa uwongo imewauma sana,Hatutaki kushiriki uwongo.
 
Back
Top Bottom