antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Wewe chawa ndiye jinga mno.Nachukizwa na harakati za chadema za kijinga kabisa, ndio maana nikaomba huyo aachiwe najua ni mropokaji mwenye tatizo la kiakili,kama mimi.
Kwa hiyo unataka wezi waendelee kutawala milele kinyume na matakwa ya umma wa wapiga kura?!
View: https://x.com/Nipashetz/status/1746897669929292081?t=sCKgMQBF86NDG5E9Jma40w&s=19