Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mh! Sidhani kama upo sahihi.JPM alizuia!?[emoji848][emoji848][emoji2827] hapana hakuzuia bali aliwabana wengi na kuwapa wachache wake
Wewe unaishi dunia ya wapi?Jamaa una kazi moja tu duniani sasa hivi, kumkandia mama na kudumisha legacy.
Halmashauri ya wapi zimeliwa pesa? Zimeliwa bei gani?
Hapana, hapo tunatofautiana. Ni kwamba wezi walimzidi kete wakawa wanamdanganya. Wizi ni tabia. Dkt Magufuli hakuwa na uvumilivu na rushwa wizi. Walimzidi kete kwa uongo na yeye kibaya akawaamini. Dkt Magufuli toka moyoni alikuwa mzalendoJPM alizuia!?[emoji848][emoji848][emoji2827] hapana hakuzuia bali aliwabana wengi na kuwapa wachache wake
OK sawa kwakuwa umetumia neno SIDHANI basi hakuna shidaMh! Sidhani kama upo sahihi.
Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Sio kila kitu ni Raisi tuu, hiyo ngazi ya halmashauri madiwani wenu wanaweza kuwapigania maana kazi mojawapo ya madiwani kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, watu tuanze kuwajibishana hapo hapo mitaani kwetu ndio maendeleo ya kweli yatakuja, madiwani wana nguvu sana lakini sijui kama wanajua hilo zaidi ya kujiona wanyonge na kusubiri posho tuuSasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Kama zinapigwa na raisi hata kusikitika Hakuna wewe nani una mamlaka gani ya kuwawajibisha hao halmashauri.A failure stateSio kila kitu ni Raisi tuu, hiyo ngazi ya halmashauri madiwani wenu wanaweza kuwapigania maana kazi mojawapo ya madiwani kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, watu tuanze kuwajibishana hapo hapo mitaani kwetu ndio maendeleo ya kweli yatakuja, madiwani wana nguvu sana lakini sijui kama wanajua hilo zaidi ya kujiona wanyonge na kusubiri posho tuu
Yupo sahihi 100%Mh! Sidhani kama upo sahihi.
Hao wabunge na madiwani wanao uwezo wa kuwawajibisha wakuregenzi?Kila kitu mnataka Raisi ndio asafishe? inawezekana kweli? naamini madiwani na mbunge wa hiyo sehemu kama wana akili wana uwezo kusafisha halmashauri zao bila matatizo
Yeye huyu mama hafoki anawapiga jicho tu sasa sijui jicho gani linazunguka nchi nzimaKila kitu mnataka Raisi ndio asafishe? inawezekana kweli? naamini madiwani na mbunge wa hiyo sehemu kama wana akili wana uwezo kusafisha halmashauri zao bila matatizo
kama huna ushahidi vinginevyo ni umbeaSasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona