Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Kwenye ukweli tuseme kweli.nimeishia pale uliposema JPM alizuia. Hovyooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ukweli tuseme kweli.nimeishia pale uliposema JPM alizuia. Hovyooo
Mbona hutaji hiyo almashauri na kiasi kilicholiwa? Mambo yale yaleyale ya sukuma gang on the move, wazee wa legacyWewe unaishi dunia ya wapi?
Mzalendo wa 1.5 tr. Kivuko nawapa jeshi, sasa nisikie mtu anakiongelea. Huyo ndiye Mzalendo halis kutoka moyoniHapana, hapo tunatofautiana. Ni kwamba wezi walimzidi kete wakawa wanamdanganya. Wizi ni tabia. Dkt Magufuli hakuwa na uvumilivu na rushwa wizi. Walimzidi kete kwa uongo na yeye kibaya akawaamini. Dkt Magufuli toka moyoni alikuwa mzalendo
Wewe ungekuwa na common sense ungeanza kwanza kulaani wizi na ubadhirufu wa mungu wenu wa Chato ambao ndiyo umeweka rekodi ya uwizi katika historiaKueleza ukweli halisi ndio kuponda? Tumia common sense.
Mkurugenzi au kamishina wa idara je,Ndio, wanaweza mkataa kupitia Full Council kwani hilo ndilo linasimamia Halmashauri. Pia Mkurugenzi yupo chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza. Madiwani na wabunge wanaweza muwajibisha DED.

Wazee wa legacy mtapata tabu sana. Pole mkuu baada ya muda maumivu yatapoaMama hana ubavu wa kuzuia wezi, bucha lipo wazi. Inasikitisha pia inavunja moyo hata kulipa kodi
Ufisadi haujawahi kuisha tangu enzi za Magufuli! Magufuli mwenyewe alikuwa fisadi hivyo tusijifanye hatukuona kwa nia ovu ya kumfanya yeye aliukomesha!Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Tunazungumzia wezi achana na mambo ya legacy.Mwakani nazo zitapigwa tena Sana na mama yupo sasa hapa legacy inakujaje dhidi ya kodi zetu.Wazee wa legacy mtapata tabu sana. Pole mkuu baada ya muda maumivu yatapoa
Tunaogopa hata kumchangia! Maana Sasa hivi ukisema tu uanambiwa msukuma!Suguma gang at work, mna kazi sana , huyo marehem harudi tena
Acha kumdhalilisha mama we su **** gangSasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Una taarifa ya CAG ? Au unakunywa mataputapu unalala unaota ?Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Angalia riport ya CAG ndo ujue kuwa kulipindi Cha jpm upigaji ndo ulikuwa more than. Kipindi ke sema riport zikuwa hazitoki tu Ila ndo upigagi ulikuwa too much. Soma riport ya CAG hata Kama we ni mvivu by natureSasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Nikajua umekuja na ushahidi kumbe uzushi.Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Kwani ukifika ndio unazunguka Nchi nzima?Yeye huyu mama hafoki anawapiga jicho tu sasa sijui jicho gani linazunguka nchi nzima
Hii nchi ni ya hovyo sanaSasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Dr Mwinyi ndio atafanya nini? Anamzidi Mwendazake?Why can't we campaign 2025 walau dr Mwinyi wabadirishane na mama maana bara ni kubwa haiwezi mama
Weka evidence acha ujinga,kama kuna wizi wa hivyo mbona tunaona miradi inatekelezeka vizuri?Hii nchi ni ya hovyo sana
Kinachoniskitishaga humu jukwaani , kuna watu wanajifanya kama wao pekee ndio wameitendea sana haki shule kuliko watu wengine
wao ndio wana akili nyingi sanaaa & sisi wengine vilaza sanaaaa
Tangu hapo awali tulikuwa tunasema kwamba wizi kwenye halmashauri umerudi cha ajabu wale wanaojiita wasomi sana na wenye jf yao wanajifanya kutetea
Evidence zilikuwa zinawekwa hapa lakini bado kuna wengine wanajiita machawa sijui viroboto wa mama walikuwa wanatetea mpaka mishipa ya shingo inawatoka
Sasa leo hii kila kukicha tunaskia milio tu, sasa hao wanaojiita sasomi wa jf, machawa na viroboto sijui watatueleza nini?
mkiambiwa kitu muwe mnaelewa na sio kuleta ubishi na elimu zenu hizo za division V
mnakera sio nyie mnaotetea upuuzi mnaojiita machawa na kujifanya mmesoma sana ..... mburumundu wakubwa nyie.