Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Ukweli ni kwamba chini ya CCM ufisadi haukuwahi kwisha wala kupungua, huwa unaongezeka tu ila kwa mtindo tofauti.

Kama kuna ufisadi wa kutisha uliwahi kufanyika basi kipindi cha Magufuli huenda ndio kilivunja rekodi kwa mujibu wa taarifa rasmi za serikali kupitia report ya CAG, utawala wa Magufuli ulifisadi kila kitu mpaka kura za wananchi. Huyo jamaa hakuwa na woga wala aibu wakati wa kufisadi. Yaani bunge, mahakama, vyombo vya habari na vyombo vya dola vyote viliwekwa mfukoni mwake ili kufunika ufisadi wote uliokuwa unaendelea ndani ya serikali yake.

Utawala wa sasa wa Samia Suluhu nao ni utawala wa kifisadi, tena ufisadi rasmi. Tofauti pekee ni kuwa umejaribu kwa kiwango fulani kidogo kuweka wazi taarifa za mwenendo wa ufisadi unaondelea ndani ya serikalini kitu ambacho Magufuli hakutaka na hakukipenda.

Dawa pekee ya kuua mfumo mzima wa ufisadi katika nchi yetu ni kuitoa CCM madarakani.
 
Weka evidence acha ujinga,kama kuna wizi wa hivyo mbona tunaona miradi inatekelezeka vizuri?

Hadi sasa wewe umeiba kiasi gani? Kwa taarifa yako kwa sasa Serikali ina pesa ndefu tofauti na zamani ilikuwa ni ku struggle.
pesa nyingi za kukopa

hilo ndio tatizo la wabongo, inamaana mnapingana na taarifa za vyombo vya habari?

we the sunk cost fallacy huenda ukawa chawa wa mama

siku ile nimekuwekea ushahidi hapa pesa ilihopivwa na halmashaur ya wilaya 3 za tabora urambo , uyui na moja nimeisahau ukabisha , leo hii milio inaendelea lakin bado unataka kubisha

sisi wengine sio machawa na ndio maana kazi yetu ni kuikosoa serikali pale inapokosea

na sio tunamkosoa mama pekee hata uyo mwenda zake pia tuliandika mabaya yake, ule upigaji wake wa tri 1.5 tuliweza kuandika pia

lakini nyie hamtaki kukosoa eti kwa sababu tu mwenda zake na alipiga

namna hiyo tutakuwa hatujengi nchi hii

inatakiwa tunapoona sehemu kuna shida tuwe tunaswma!

kuna kipindi fln hapa kati benk ya dunia iliongea kuhusu deni la tz leo hii ww umesahau unasema sasa hv nchi ina pesa chafu kuliko pindi ya mwenda zake

uku wabunge uliona walivyokuwa wakipiga kelele kuhusu serikali kukimbilia kukopakopa

kwaiyo mi nakushaur ndugu yangu kwenye uozo tuwe tunasema na sio kila kitu kusifia tu nchi itakuwa haiendi hii

sijaona hata post yako moja ukimpinga bi mkubwa yaani zote wewe ni za kupongeza tu ina maana aliyoyafanya na anayoendelea kufanya yote ni mazur?
 
Tukisha itoa CCM tumpe Nani?
 
Hana akili timamu.
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Wewe huna akili,hizo pesa unazodai kupigwa na ile 1.5 trilion ipi nyingi? Katili limeshakufa wewe tafuta bwana mwingine wa kukuweka kinyumba.
 
Shoga kama wewe makalio yalishaoza kwa nini unasumbua wanaume?
 
Itabidu uwe na id nyingi kidogo, maana hii imekuwa kama ya Kikundi kilichoasisiwa na Askofu asiyefufua wala kuleta uzima, kumlinda mama Rais, as if mna uwezo wa kumfufua na kumrudisha Mwendakuzimu madarakani!

Ufisadi haujawahi kulisha wala kupotea serikalini!

Sema taarifa zake zilibinywa, hatukuzipata!
 
Tukishawatoa CCM tuichukue sisi wenyewe nchi yetu na tutajua cha kufanya, lengo ni kuachana na huyo ibilisi CCM kwanza.
Try to rethink your useless imagination.

Kwanza wanasiasa Ni wale wale, sasa sijui kwanini hii concept ndogo tu mnashindwa kuelewa.

Mnachezewa akili tu kisaikolojia mnabaki kuachama midomo Kama Mashabiki uchwara.

Lowassa wa CCM ana tofauti gani na Lowassa wa Mbowe?

Hata sasa hivi, ikiondoka CCM madarakani wakaingia CHAUMA wewe utazuia wanasiasa wa waliokuwa CCM kwenda huko CHAUMA?

Hivi hamjifunzi hata hapo Kenya?

KANU haipo, mbona leo watu wale wale wa KANU ndio watawala kupitia JUBILEE.

Anyway, Ni suala la kufikiri tu Kama UKIPENDA.

Ukitanguliza mihemko, utapigwa au kuuawa ili Wanaharakati na wanasiasa wataanza kutumia picha zako kuombea pesa kwa wafadhili ili wajenge majumba.
 
Itabidu uwe na id nyingi kidogo, maana hii imekuwa kama ya Kikundi kilichoasisiwa na Askofu asiyefufua wala kuleta uzima, kumlinda mama Rais, as if mna uwezo wa kumfufua na kumrudisha Mwendakuzimu madarakani!

Ufisadi haujawahi kulisha wala kupotea serikalini!

Sema taarifa zake zilibinywa, hatukuzipata!
Ulimaliza la saba?
 
Angalia riport ya CAG ndo ujue kuwa kulipindi Cha jpm upigaji ndo ulikuwa more than. Kipindi ke sema riport zikuwa hazitoki tu Ila ndo upigagi ulikuwa too much. Soma riport ya CAG hata Kama we ni mvivu by nature
Ila hela zote hizo alificha wapi maana viroboto GANG mnataarifa nyingi au umekuwa kasuku kudakia hata usivyo vielewa
 
Weka evidence acha ujinga,kama kuna wizi wa hivyo mbona tunaona miradi inatekelezeka vizuri?

Hadi sasa wewe umeiba kiasi gani? Kwa taarifa yako kwa sasa Serikali ina pesa ndefu tofauti na zamani ilikuwa ni ku struggle.
Afadhali unetoa elimu kwa hao viroboto GANG maana hawajielewi
 
Back
Top Bottom