Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

nyie ndio mnaosababisha hii nchi isiende mbele

watu wanaikosoa serikali dhidi ya ubadhulifu nyie mnaleta jokes

sukuma gang ndio nn au nyie ndio machawa? kuna leo na kesho kaka

hizi raslimali zikija kuisha vijukuu & vitukuu vyako vitatafutana
Jokes unaleta wewe ambae unaleta uzushi badala ya facts.
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Hii awamu ya 6 chini ya Kikwete na makamu wake Mama Samia ni janga tupu. Ule ujinga wote wa awamu ya 4 umerudi kwa kasi sana, kutokana na ripoti ya CAG.....TANESCO wameonekana na ubadhilifu mkubwa mno na hakuna watakachofanyiwa na Mama zaidi ya kulelewa tu na kuturudisha nyuma kimaendeleo. Kwa kweli Mama Samia anashindwa kuliongoza hili taifa kama JK enzi zake.
 
Kwani nyie Umoja Party mnasemaje?

Awamu ya 4 ilikuaje? Tukifanya ulinganisho Kati ya awamu ya 5 na 4 ni awamu gani wamefisadi Sana Tzn?
 
muwe wepesi wa kutafuta taarifa, nchi inapigwa hii ina maana hata vyombo vya habari hamfuatilii?

Ndio tatizo la mtanzania yaan kila kitu yeye anataka atafuniwe tu

kuumiza vichwa nyie hamtaki mnataka muwe mnaletewa tu!

ina maana nyie hamjui kama nchi inapigwa hii
 
Sio kila kitu ni Raisi tuu, hiyo ngazi ya halmashauri madiwani wenu wanaweza kuwapigania maana kazi mojawapo ya madiwani kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, watu tuanze kuwajibishana hapo hapo mitaani kwetu ndio maendeleo ya kweli yatakuja, madiwani wana nguvu sana lakini sijui kama wanajua hilo zaidi ya kujiona wanyonge na kusubiri posho tuu
Mama ripoti anayo ila anashindwa kukemea, kuna haja ya kulipa kodi kweli ikiwa hali yenyewe ndiyo hii? CCM is a failed party, mkombozi wa kweli alikuwa Magufuli tu ila si huyu Mama na wenzake.
 
Hii serikali itaangushwa na ufisadi, kama wanashindwa kuudhiti, serikali inayoshindwa kudhibiti ufisadi inatakiwa wananchi waipige chini haifai
 
muwe wepesi wa kutafuta taarifa, nchi inapigwa hii ina maana hata vyombo vya habari hamfuatilii?

Ndio tatizo la mtanzania yaan kila kitu yeye anataka atafuniwe tu

kuumiza vichwa nyie hamtaki mnataka muwe mnaletewa tu!

ina maana nyie hamjui kama nchi inapigwa hii
Tena mbele na nyuma,jiwe alikuwa bize kuua upinzani kuliko kupambana na ufisadi
 
Kwani nyie Umoja Party mnasemaje?

Awamu ya 4 ilikuaje? Tukifanya ulinganisho Kati ya awamu ya 5 na 4 ni awamu gani wamefisadi Sana Tzn?
Awamu ya 4 ndiyo hii iliyopo madarakani sasa, hakuna utawala ndani ya nchi, badala ya kuendeleza pale alipotufikisha Magufuli tunarudishwa nyuma kwenye awamu ya kijinga kuwahi tokea hapa Tanzania (awamu ya 4).
 
Wewe fala Nini,kwa Hiyo unataka kusemaje
 
Mbona hutaji hiyo almashauri na kiasi kilicholiwa? Mambo yale yaleyale ya sukuma gang on the move, wazee wa legacy
muwe wepesi wa kutafuta taarifa na sio kila kitu mletewe mezani

umeshaambiwa BUCHOSA bado tu unauliza halmashauri ya wapi ndio swali gani sasa?

halafu mbona kila siku upigaji unatangazwa ina maana mjomba we tv hauna?

nunua tv ya madwnge hata inch 14 tu uwe unafuatilia taarifa na sio kubishana humu
 
Nilipoona lukuvi katolewa ardhi akasogezwa mtoto wa mlamba asali, kule kinana karudi kazini,bucha kapewa fisi, tutegemee ripoti ya upigaji ya mwakani figure kupaa zaidi.
 
huyu ni sukum gang aliyefikia hatua ya kuchanganyikiwana kuwa mwehu! halali ni kuwaza kutunga ngonjera tu dhidi ya Samia na Awamu ya 6
wanalazimisha mambo ili ionekane awamu ya 5 ufisadi uliisha ila umerudi awamu hii
 
Hapana, hapo tunatofautiana. Ni kwamba wezi walimzidi kete wakawa wanamdanganya. Wizi ni tabia. Dkt Magufuli hakuwa na uvumilivu na rushwa wizi. Walimzidi kete kwa uongo na yeye kibaya akawaamini. Dkt Magufuli toka moyoni alikuwa mzalendo
Yeye alikuwa jambazi na muuaji. Kafanya matukio mengi, na hata Sabaya kakiri kushirikiana na huyo dikteta uchwara!
 
Angalia riport ya CAG ndo ujue kuwa kulipindi Cha jpm upigaji ndo ulikuwa more than. Kipindi ke sema riport zikuwa hazitoki tu Ila ndo upigagi ulikuwa too much. Soma riport ya CAG hata Kama we ni mvivu by nature
kazi yetu siai wana jf ni kukosoa , hakuna mtu aliyesema kipindi cha magufuli hakukua na upigaji

kioindi cha magufuli uoigaji ulikuwepo na tuliongea na hata sasa hatuna budi kuongea sababu bado upigaji unaendelea

kwaiyo tusifungane midomo hapa
 
wanalazimisha mambo ili ionekane awamu ya 5 ufisadi uliisha ila umerudi awamu hii
Na wewe lazimisha 👇

Screenshot_20220430-075700.png
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Tumia urefu wa Kamba yako. Kama Kamba yako fupi, ongezea urefu. Acha kulalamika fainali uzeeni. Utabaki na uzalendo wako mwenyewe!
 
Wewe ungekuwa na common sense ungeanza kwanza kulaani wizi na ubadhirufu wa mungu wenu wa Chato ambao ndiyo umeweka rekodi ya uwizi katika historia
Wewe nakujua huna point za msingi zaidi ya kuleta chuki zako za kimalaya
 
Back
Top Bottom