Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Why can't we campaign 2025 walau dr Mwinyi wabadirishane na mama maana bara ni kubwa haiwezi mama
 
Sio kila kitu ni Raisi tuu, hiyo ngazi ya halmashauri madiwani wenu wanaweza kuwapigania maana kazi mojawapo ya madiwani kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, watu tuanze kuwajibishana hapo hapo mitaani kwetu ndio maendeleo ya kweli yatakuja, madiwani wana nguvu sana lakini sijui kama wanajua hilo zaidi ya kujiona wanyonge na kusubiri posho tuu
Wewe kibwagizo mambo mengine unajitia aibu. Institution yoyote pamoja na nchi kiongozi mkuu huwa ana impact jinsi onavyobehave kiongozi mkuu ukibehave kiupigaji upigaji within no time watakuunga mkono .mama hawezi simama hata akakemea wizi yeye ni ku kuwapa moyo tu wezi na kujaza wezi ndani ya system .we are a failed state period
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Lazima urukwe akili mwaka huu! Samia ndo Rais wa JMT hadi 2030. Endelea kusafisha kabuli hapo chato
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
We jamaa umemkomalia Samia hata hakohoi wala hahemi.

Nyuzi za bandika bandua.

Hii ID ni ya shirika sii ya mtu mmoja
 
Bara ipi? Bujumbura au chato?
Lord Denning ,kwa jina hilo ulilojitwisha naamini wewe ni mwanasheria , kama kweli umejimwambafy na hilo jina kubeba legacy ya huyu mwamba naomba nikuheshimu nisikujibu unless umepambana nalo ukapenda linavyosound bila kujua
 
Kila kitu mnataka Raisi ndio asafishe? inawezekana kweli? naamini madiwani na mbunge wa hiyo sehemu kama wana akili wana uwezo kusafisha halmashauri zao bila matatizo
madiwani na wabunge waliopachikwa kwa wizi?
 
Lord Denning ,kwa jina hilo ulilojitwisha naamini wewe ni mwanasheria , kama kweli umejimwambafy na hilo jina kubeba legacy ya huyu mwamba naomba nikuheshimu nisikujibu.
Hili ni jinga moja lisilojitambua.
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Waache wapige, ni zamu kwa zamu. Acha kulialia hapa. Hiyo awamu ya 5 kulikuwa Magufuli na kikundi chake kidogo ndiyo wanapiga hela ya nchi, na walikuwa wanapiga ndefu tu. Au unajifanya hujasikia ripoti ya CAG Kicheere?

Kama unajifanganya kuwa Magufuli alikuwa mzalendo na anachukia ufidadi basi wewe hauna akili
 
Hao wabunge na madiwani wanao uwezo wa kuwawajibisha wakuregenzi?
Ndio, wanaweza mkataa kupitia Full Council kwani hilo ndilo linasimamia Halmashauri. Pia Mkurugenzi yupo chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye ndiye mwenyekiti wa Baraza. Madiwani na wabunge wanaweza muwajibisha DED.
 
Back
Top Bottom