Najua hawawezi kumfukuza kisheria ila wana influence kubwa sana ya kumwajibisha mkurugenzi, madiwani kazi yao moja kubwa legally ni kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, madiwani kuripoti takururu au vyombo vya sheria na kumobilize wananchi wao kuhusu ufisadi huoni kama ni mwanzo wa kuzuia upigaji, tuna katiba mbovu lakini hata iliyopo inaweza kusaidia level ya wananchi chini kabisa kuzuia upigaji wa hawa maofisa njaa, watu lazima wawe na uchungu na maendeleo yao na sio maneno tuu na wananchi kutumia madiwani ndio njia ya kwanza kabisa kuzuia upigaji, Raisi au mawaziri ni ngumu sana kupigania kila halmashauri