Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

pesa nyingi za kukopa

hilo ndio tatizo la wabongo, inamaana mnapingana na taarifa za vyombo vya habari?

we the sunk cost fallacy huenda ukawa chawa wa mama

siku ile nimekuwekea ushahidi hapa pesa ilihopivwa na halmashaur ya wilaya 3 za tabora urambo , uyui na moja nimeisahau ukabisha , leo hii milio inaendelea lakin bado unataka kubisha

sisi wengine sio machawa na ndio maana kazi yetu ni kuikosoa serikali pale inapokosea

na sio tunamkosoa mama pekee hata uyo mwenda zake pia tuliandika mabaya yake, ule upigaji wake wa tri 1.5 tuliweza kuandika pia

lakini nyie hamtaki kukosoa eti kwa sababu tu mwenda zake na alipiga

namna hiyo tutakuwa hatujengi nchi hii

inatakiwa tunapoona sehemu kuna shida tuwe tunaswma!

kuna kipindi fln hapa kati benk ya dunia iliongea kuhusu deni la tz leo hii ww umesahau unasema sasa hv nchi ina pesa chafu kuliko pindi ya mwenda zake

uku wabunge uliona walivyokuwa wakipiga kelele kuhusu serikali kukimbilia kukopakopa

kwaiyo mi nakushaur ndugu yangu kwenye uozo tuwe tunasema na sio kila kitu kusifia tu nchi itakuwa haiendi hii

sijaona hata post yako moja ukimpinga bi mkubwa yaani zote wewe ni za kupongeza tu ina maana aliyoyafanya na anayoendelea kufanya yote ni mazur?
Akili huna,na wewe kakope basi👇

Screenshot_20220406-163449.png

Screenshot_20220406-164933.png

Screenshot_20220406-164945.png

Screenshot_20220404-104418.png
 
Nchi inatafunwa
Kwani deni la Taifa litaendelea kuwa himilivu mpaka lini ? Maana kama ni kweli Hao jamaa wameamua kuitafuna nchi basi hata hiyo mikopo ipo siku tutanyimwa !! Hapo sasa nadhani ndio tutatia Akili kichwani !! Na kuanza kushikiana kiboko kwa wale wabadhirifu wa Mali ya Umma, !!!
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI usipotajirika TANZANIA wewe ni KICHAA
1644468513817.jpg
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Kaka Musiba leo siku nzima umeamua kuanzisha nyuzi za kuitukana serikali, umefulia sana mkuu.
 
We jamaa umemkomalia Samia hata hakohoi wala hahemi.

Nyuzi za bandika bandua.

Hii ID ni ya shirika sii ya mtu mmoja
Musiba huyo alitukana sana watu awamu ya JPM akisahau kuwa hata mfalme anayezungukwa na walinzi huwa anakufa.
 
Hao wabunge na madiwani wanao uwezo wa kuwawajibisha wakuregenzi?
Najua hawawezi kumfukuza kisheria ila wana influence kubwa sana ya kumwajibisha mkurugenzi, madiwani kazi yao moja kubwa legally ni kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, madiwani kuripoti takururu au vyombo vya sheria na kumobilize wananchi wao kuhusu ufisadi huoni kama ni mwanzo wa kuzuia upigaji, tuna katiba mbovu lakini hata iliyopo inaweza kusaidia level ya wananchi chini kabisa kuzuia upigaji wa hawa maofisa njaa, watu lazima wawe na uchungu na maendeleo yao na sio maneno tuu na wananchi kutumia madiwani ndio njia ya kwanza kabisa kuzuia upigaji, Raisi au mawaziri ni ngumu sana kupigania kila halmashauri
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
Hii legacy unayoipambania itakutia ukichaa 🤣🤣🤣
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona

Dhalimu alinajisi uchaguzi akajaza wanaccm kila mahali, sasa hao wanaccm ambao alisema ni wazalendo wahoji huo wizi.
 
Back
Top Bottom