hamumwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 754
- 664
Kiroboto kaziniWewe fala Nini,kwa Hiyo unataka kusemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiroboto kaziniWewe fala Nini,kwa Hiyo unataka kusemaje
Mbona naona sokwe vp au ndo royal tour hahahaha
Ndugu yangu usiwatukane viroboto wa bibi wana akili ya leo hawana ya keshoWewe nakujua huna point za msingi zaidi ya kuleta chuki zako za kimalaya
Kiroboto kazini na akili fupiWewe huna akili,hizo pesa unazodai kupigwa na ile 1.5 trilion ipi nyingi? Katili limeshakufa wewe tafuta bwana mwingine wa kukuweka kinyumba.
Unaonesha ni kinywa chako kimejaa laana kiroboto kaziniAliyeoza makalio limefukiwa siku nyingi wewe umebaki kumlilia kila siku,bora nimsikitikie mbwa kuliko lile dubwana.
Unatupigia kelele.
Viroboto gang kazini hamtafanikiwa zaidi ya kukigawa chama chenu subiri muone VIROBOTO wa bibiYule mbwa unayemfungulia uzi kila baada ya dakika tano,jizi na katili maarufu Tanzania.
Nilikuwa nakufuatilia Sana mandiko yako,kumbe nawewe ni kilaza/bure kabsa.JPM alizuia!?[emoji848][emoji848][emoji2827] hapana hakuzuia bali aliwabana wengi na kuwapa wachache wake
Akili huna,na wewe kakope basi👇pesa nyingi za kukopa
hilo ndio tatizo la wabongo, inamaana mnapingana na taarifa za vyombo vya habari?
we the sunk cost fallacy huenda ukawa chawa wa mama
siku ile nimekuwekea ushahidi hapa pesa ilihopivwa na halmashaur ya wilaya 3 za tabora urambo , uyui na moja nimeisahau ukabisha , leo hii milio inaendelea lakin bado unataka kubisha
sisi wengine sio machawa na ndio maana kazi yetu ni kuikosoa serikali pale inapokosea
na sio tunamkosoa mama pekee hata uyo mwenda zake pia tuliandika mabaya yake, ule upigaji wake wa tri 1.5 tuliweza kuandika pia
lakini nyie hamtaki kukosoa eti kwa sababu tu mwenda zake na alipiga
namna hiyo tutakuwa hatujengi nchi hii
inatakiwa tunapoona sehemu kuna shida tuwe tunaswma!
kuna kipindi fln hapa kati benk ya dunia iliongea kuhusu deni la tz leo hii ww umesahau unasema sasa hv nchi ina pesa chafu kuliko pindi ya mwenda zake
uku wabunge uliona walivyokuwa wakipiga kelele kuhusu serikali kukimbilia kukopakopa
kwaiyo mi nakushaur ndugu yangu kwenye uozo tuwe tunasema na sio kila kitu kusifia tu nchi itakuwa haiendi hii
sijaona hata post yako moja ukimpinga bi mkubwa yaani zote wewe ni za kupongeza tu ina maana aliyoyafanya na anayoendelea kufanya yote ni mazur?
Muonee hurumaNilikuwa nakufuatilia Sana mandiko yako,kumbe nawewe ni kilaza/bure kabsa.
Kwani deni la Taifa litaendelea kuwa himilivu mpaka lini ? Maana kama ni kweli Hao jamaa wameamua kuitafuna nchi basi hata hiyo mikopo ipo siku tutanyimwa !! Hapo sasa nadhani ndio tutatia Akili kichwani !! Na kuanza kushikiana kiboko kwa wale wabadhirifu wa Mali ya Umma, !!!Nchi inatafunwa
Wewe na CAG nani mwenye mamlaka ya kusema?Kwenye ukweli tuseme kweli.
Silly questionWewe na CAG nani mwenye mamlaka ya kusema?
mkuu nahisi hujanielewa
WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA ZAO TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI usipotajirika TANZANIA wewe ni KICHAASasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Hii siyo taarifa yangu ni ya CAG unless kama unapingana nahe.Ila hela zote hizo alificha wapi maana viroboto GANG mnataarifa nyingi au umekuwa kasuku kudakia hata usivyo vielewa
Kaka Musiba leo siku nzima umeamua kuanzisha nyuzi za kuitukana serikali, umefulia sana mkuu.Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Musiba huyo alitukana sana watu awamu ya JPM akisahau kuwa hata mfalme anayezungukwa na walinzi huwa anakufa.We jamaa umemkomalia Samia hata hakohoi wala hahemi.
Nyuzi za bandika bandua.
Hii ID ni ya shirika sii ya mtu mmoja
Najua hawawezi kumfukuza kisheria ila wana influence kubwa sana ya kumwajibisha mkurugenzi, madiwani kazi yao moja kubwa legally ni kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, madiwani kuripoti takururu au vyombo vya sheria na kumobilize wananchi wao kuhusu ufisadi huoni kama ni mwanzo wa kuzuia upigaji, tuna katiba mbovu lakini hata iliyopo inaweza kusaidia level ya wananchi chini kabisa kuzuia upigaji wa hawa maofisa njaa, watu lazima wawe na uchungu na maendeleo yao na sio maneno tuu na wananchi kutumia madiwani ndio njia ya kwanza kabisa kuzuia upigaji, Raisi au mawaziri ni ngumu sana kupigania kila halmashauriHao wabunge na madiwani wanao uwezo wa kuwawajibisha wakuregenzi?
Hii legacy unayoipambania itakutia ukichaa 🤣🤣🤣Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.
Hali ndio hii kila kona