Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,332
- 7,406
Mmekuwa wacheza sinema kama wakina WemaUlitaka zihamie ulaya akili zako za kupelekwa kama zuzu zinaonesha jinsi ulivyo kilaza humu
Mmekuwa wacheza sinema kama wakina WemaUlitaka zihamie ulaya akili zako za kupelekwa kama zuzu zinaonesha jinsi ulivyo kilaza humu
Hv nyie waufipa mlitegemea mbelgiji awe raisi? Siasa ya nchi hii mnaielewa muulizeni maalim Seif.Akitoka hapo aanze ziara za nchi nzima kuzindua viwanda 100@mkoa, vilivyojengwa kwenye awamu hii ya Tanzania ya viwanda. Hii itasaidia wale watanzania 12.5m wa kura za kwenye mabeg wawe na uhakika wa ajira.
Ina maana pamoja na CCTV Cameras 360 zilizopo hapo kuongeza na Wale Jamaa wa Makao Upanga na Makao Oysterbay bado kuna Ufisadi sana?Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
Makoko ndio nani ?Anaenda kutembea tu Makoko hawezi hata kumfokea sembuse kumsimamisha kazi .....hana jipya bana huyo labda katumwa akaokote magari serikali yamekaa sana
Tanzania ni moja bwashee!Amesahau Bandari ya kwao mtwara,bandari imegharimu mabillioni ya sh lkn korosho zoote kutoka mikoa ya kusini yaani Lindi na Mtwara na Ruvuma zinalazimishwa kupitia bandari ya dsm.
Wana kusini watajivunia kitu gani kwa kuwa wazalishaji wa korosho na kuwa wenyeji wa bandari iliyo boreshwa na yenye kina kirefu hapa Tanzania?
Tanzania means chatouTanzania ni moja bwashee!
USSR💣Ulitaka zihamie ulaya akili zako za kupelekwa kama zuzu zinaonesha jinsi ulivyo kilaza humu
Amfokee... weee yule si ndiyo msimamizi wa madudu yote ya jamaa !!Anaenda kutembea tu Makoko hawezi hata kumfokea sembuse kumsimamisha kazi .....hana jipya bana huyo labda katumwa akaokote magari serikali yamekaa sana
Picha yake tafadhaliLeo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
Anajivunia kuwepo kwa "saccos" ya kisiasaAmesahau Bandari ya kwao mtwara,bandari imegharimu mabillioni ya sh lkn korosho zoote kutoka mikoa ya kusini yaani Lindi na Mtwara na Ruvuma zinalazimishwa kupitia bandari ya dsm.
Wana kusini watajivunia kitu gani kwa kuwa wazalishaji wa korosho na kuwa wenyeji wa bandari iliyo boreshwa na yenye kina kirefu hapa Tanzania?
Ndio kuna kazi ya kufanya hapaDPP huko alipo anacheka tu..
Miaka mitano mnahangaika na fukuza fukuza hapo bandarini basi jua plan ime fail hivyo ni lazima waje na nyingine.Waziri mkuu kasimu majaliwa leo 27/12/2020 amewasimamisha kazi mkuu wa kitengo cha fedha wa bandari ya TPA dar es salaam na maafsa wengine na kuitaka ofisi ya CAG kufanya ukaguzi katika bandari za tanga,mtwara ,,kyela,mwanza na Dar as salaam haraka.
Waziri mkuu amekagua mapato na matumizi na kubaini dosari hizo leo alipoitembelea bandari ya dar es salaam na kukuta madaudu
My take :tukutane mahakami
USSR
Siyo, kumbuka wale watumishi wa Kigoma, nadhani hii ni tsunami kwa bandari maana Mkurugenzi hawezi kwepaMaigizo ya bongo movie yameanza upya?
Ngoja tusubiri.