Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Tutamkumbuka sana Kanumba.Wewe kaokote vichwa vya kuku kwa lema sikuu hii
Tutamkumbuka sana Kanumba.Wewe kaokote vichwa vya kuku kwa lema sikuu hii
Huna habari Mkuu? Jiulize kwanini Meko kaamua kubeba kapu kanisani na kuanza kukusanya sadaka peke yake?? Ni wazi kuwa mapato yamepungua kwa Waumini hivyo kuwafanya Wachungaji waanze kunung'unika.Hali mbaya kivipi? Nini kimekwama?
Watu gani hao wapewe?.Nadhani ipo haja ya kuwapa watu flani jukumu la kuimonitor bandari kwa kipindi flani ili kujua areas za kufanyia improvement na kuja na ripoti yenye mapendekezo ya mifumo kadhaa ya uendeshwaji wa bandari bila kusababisha ubadhirifu wa fedha mara kwa mara.
Wakati nyinyi mnaona wenzetu wanatengeneza movie, wenzenu wanazidi kujijengea uaminifu kwa wananchiMovie zinahamia bandarini!
Nadhani ipo haja ya kuwapa watu flani jukumu la kuimonitor bandari kwa kipindi flani ili kujua areas za kufanyia improvement na kuja na ripoti yenye mapendekezo ya mifumo kadhaa ya uendeshwaji wa bandari bila kusababisha ubadhirifu wa fedha mara kwa mara.
HahahahahahahaTutamkumbuka sana Kanumba.
Kila idara awepo mtu ambaye atakuwa na jukumu la kuangalia uimara na udhaifu wa Idara husika, na kutengeneza ripoti yake , ambapo mwisho wa zoezi wote watakutana na kucompile ripoti zao na kussugest mifumo sahihi ya namna ya kuendesha bandari kwa ufanisi unaotakikana.Unamaana ifanywe kama ilivyo ticts sasa hivi au ?
Dah mkuu umenena. Unakuta ujinga wote unajulikana then inasubiriwa ripoti ili w/mkuu atumbue, yaani ni aibu.Kazi ya Usalama wa Taifa bongo ni kuwashitaki wezi kwa waziri mkuu.
Kazi za mashirika na taasisi za kiusalama nchi nyingine ni kudhibiti mianya yote ya uhalifu, na uhalifu ukitokea basi wahalifu hufikishwa mahakamani mara moja na mashirika hayo hubadili mfumo wa kudhibiti mapato na kuachana na ule wa zamani.
Bongo tuko nyuma sana, we are not proactive at all
Hawana akiri hawa vijana wa bavicha, network zao wamekabidhi kwaTundu Lisu na R Amsterdam.Wewe kaokote vichwa vya kuku kwa lema sikuu hii
Nilitaka kusema huyo pandikizi lazima. Special job!Itakuwa undercover
Hivi vile vichwa vya treni habari yake iliishia wapi?Tunamsubiri na yeye akaokote kama yule Boss alieokoto vichwa vya treni.
Watakuambia Kakoko ni mbobezi kumbe geresha tupu! Toka akiwa Tanroad.
nadhani yule rais ndio anatakiwa amuondoe na nahisi kakalia kuti kavuYule mkurugenzi wa Bandari kakoko kamuacha hahahah kakoko hoyee!!
Wakati umefika wateuliwe watu kutoka humu jfNadhani ipo haja ya kuwapa watu flani jukumu la kuimonitor bandari kwa kipindi flani ili kujua areas za kufanyia improvement na kuja na ripoti yenye mapendekezo ya mifumo kadhaa ya uendeshwaji wa bandari bila kusababisha ubadhirifu wa fedha mara kwa mara.
Nao watapiga ....waishi kama wenzaoKila idara awepo mtu ambaye atakuwa na jukumu la kuangalia uimara na udhaifu wa Idara husika, na kutengeneza ripoti yake , ambapo mwisho wa zoezi wote watakutana na kucompile ripoti zao na kussugest mifumo sahihi ya namna ya kuendesha bandari kwa ufanisi unaotakikana.
Mtu atayepewa jukumu lazima awe mtaalam mbobevu wa eneo husika na mwenye sifa ya ziada ya uzalendo.
Kumbe huyo mwanao amepona mungu mkubwa!!kwani kufikia hatua ya kuandika hivi ni kushukuru mungu!!haha et mala duh. mtu kama wewe kuandika tu hujui eti unatoa maoni na wewe