johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hata Zitto Kabwe wakati akiwa boss wa PAC alikuwa anaponea bandarini.Huo mfumo usiobadilika ni mfumo gani. Au mfumo umeundwa ili kutunza maovu?

Yaani ninyi mtakufa mnatapatapa kwa kiholoBandari ya kijani, sinema za kijani
Hata Zitto Kabwe wakati akiwa boss wa PAC alikuwa anaponea bandarini.
Mbona kama wewe ndio unateseka wenzio wakisemwa? Vitu vingine piga kimya acha wapayuke wakichoka wataachaYaani ninyi mtakufa mnatapatapa kwa kiholo
Si tuliambiwa awamu hii inaongozwa na mtakatifu hakuna ufisadi imekuwaje tena?Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
=====
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza, Mtwara, Tanga na Kyela kutokana na kuwepo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Pia Waziri Mkuu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa TPA, Bibi Nuru Mhando pamoja na Meneja wa Matumizi ya Fedha wa TPA, Bibi Witness Mahela ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zinazowakabili.
Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo baada kupokea ripoti ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG katika hesabu ya Bandari ya Kigoma kwa mwaka 2017/2018 na 2018/2019. Lengo la ukaguzi huo lilikuwa kujiridhisha kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma.
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumapili, Desemba 27, 2020) katika kikao chake na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania na Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kilichofanyika katika ofisi za TPA jijini Dar es Salaam. Amesema taasisi hiyo imebeba taswira ya uchumi wa Taifa, lazima kazi ifanyike vizuri.
Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Bodi ya Bandari Tanzania ihakikishe kwamba mamlaka hiyo inafanyakazi kwa weledi na isisite kuchukua hatua kwa mtumishi atakayebainika kutenda makosa na isimbebe kwa namna yoyote.
Prof Assad tutakukumbuka,
Msimamishe Kakoko acha uoga bana hata Kama best wa Magu !!!Si tuliambiwa awamu hii inaongozwa na mtakatifu hakuna ufisadi imekuwaje tena?
Sawa mkuuMsimamishe Kakoko acha uoga bana hata Kama best wa Magu !!!
Aliyekunyima akili akili alikuweza, kichwa kimejaa ukoko mtupu!Ninamkubali sana Dr Hussein Mwinyi!
Zanzibar sasa ni wamoja Chadema wameishiwa hoja.
Hahahaaaa...... Msalimie Esther Bulaya!Aliyekunyima akili akili alikuweza, kichwa kimejaa ukoko mtupu!
AmsterdamUlitaka zihamie ulaya akili zako za kupelekwa kama zuzu zinaonesha jinsi ulivyo kilaza humu
Kazi ya Usalama wa Taifa bongo ni kuwashitaki wezi kwa waziri mkuu.
Kazi za mashirika na taasisi za kiusalama nchi nyingine ni kudhibiti mianya yote ya uhalifu, na uhalifu ukitokea basi wahalifu hufikishwa mahakamani mara moja na mashirika hayo hubadili mfumo wa kudhibiti mapato na kuachana na ule wa zamani.
Bongo tuko nyuma sana, we are not proactive at all
Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
=====
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza, Mtwara, Tanga na Kyela kutokana na kuwepo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Pia Waziri Mkuu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa TPA, Bibi Nuru Mhando pamoja na Meneja wa Matumizi ya Fedha wa TPA, Bibi Witness Mahela ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zinazowakabili.
Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo baada kupokea ripoti ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG katika hesabu ya Bandari ya Kigoma kwa mwaka 2017/2018 na 2018/2019. Lengo la ukaguzi huo lilikuwa kujiridhisha kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma.
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumapili, Desemba 27, 2020) katika kikao chake na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania na Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kilichofanyika katika ofisi za TPA jijini Dar es Salaam. Amesema taasisi hiyo imebeba taswira ya uchumi wa Taifa, lazima kazi ifanyike vizuri.
Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Bodi ya Bandari Tanzania ihakikishe kwamba mamlaka hiyo inafanyakazi kwa weledi na isisite kuchukua hatua kwa mtumishi atakayebainika kutenda makosa na isimbebe kwa namna yoyote.
Hii Awamu ya 5 ndiyo pesa inapigwa kuliko kawaida. Imagine CAG Prof Assad kwa miaka 3 aligundua ufisadi wa Tsh 2.4 Trillion. Alipohoji akafukuzwa kaziSi tuliambiwa awamu hii inaongozwa na mtakatifu hakuna ufisadi imekuwaje tena?