Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,426
Kwa jinsi jana PM alivyokuwa ka fyumu akipewa inji hiii aiseee atatunyoosha
Tatizo na wao wanageuka sehemu ya tatizo, njaa mbaya bossKila idara awepo mtu ambaye atakuwa na jukumu la kuangalia uimara na udhaifu wa Idara husika, na kutengeneza ripoti yake , ambapo mwisho wa zoezi wote watakutana na kucompile ripoti zao na kussugest mifumo sahihi ya namna ya kuendesha bandari kwa ufanisi unaotakikana.
Mtu atayepewa jukumu lazima awe mtaalam mbobevu wa eneo husika na mwenye sifa ya ziada ya uzalendo.
Uku pameoza mm pia nipo uku sikuizi ni miyeyusho sana.Ina maana pamoja na CCTV Cameras 360 zilizopo hapo kuongeza na Wale Jamaa wa Makao Upanga na Makao Oysterbay bado kuna Ufisadi sana?
Nimesikitishwa sanaAnaenda kutembea tu Makoko hawezi hata kumfokea sembuse kumsimamisha kazi .....hana jipya bana huyo labda katumwa akaokote magari serikali yamekaa sana
Kumbe hayo mambo ndo yanampa frastruation mzeee! Majaliwa piga kazi!Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam
More to follow
=====
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza, Mtwara, Tanga na Kyela kutokana na kuwepo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Pia Waziri Mkuu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa TPA, Bibi Nuru Mhando pamoja na Meneja wa Matumizi ya Fedha wa TPA, Bibi Witness Mahela ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zinazowakabili.
Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo baada kupokea ripoti ya Ukaguzi Maalum uliofanywa na CAG katika hesabu ya Bandari ya Kigoma kwa mwaka 2017/2018 na 2018/2019. Lengo la ukaguzi huo lilikuwa kujiridhisha kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma.
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo (Jumapili, Desemba 27, 2020) katika kikao chake na Waziri na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania na Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kilichofanyika katika ofisi za TPA jijini Dar es Salaam. Amesema taasisi hiyo imebeba taswira ya uchumi wa Taifa, lazima kazi ifanyike vizuri.
Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Bodi ya Bandari Tanzania ihakikishe kwamba mamlaka hiyo inafanyakazi kwa weledi na isisite kuchukua hatua kwa mtumishi atakayebainika kutenda makosa na isimbebe kwa namna yoyote.
Mfumo unamuandaa KMKKwa jinsi jana PM alivyokuwa ka fyumu akipewa inji hiii aiseee atatunyoosha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yani mimi pia nimesikitishwa sana aisee dah ujue mm nilikuwa najua huyu ndo atatumbuliwa...Cha ajabu Kakoko ndio kapewa kazi ya kuunda tume ichunguze upotevu wa hela za bandari hahahaa!
Wakati mwingine nikimsikiliza waziri mkuu nabaki kuwaza mambo mengi sana.
Hela imepotea kwenye ofisi yangu halafu mimi mwenye ofisi niunde tume ichunguze.
Uchawi upo
Yaliyomo Yamo.Mfumo unamuandaa KMK
Kuchukua kijiti baada ya JPM
Ndiyo Ukweli WenyeweProf Assad tutakukumbuka,
Hivi Viwanda 100 kila mkoa maendeleo yake ni vipi baada ya mitano (5 ) ya kwanza? Sikuwahi kusikia progress reporeport yake. Ni jambo zuri sana hili la Viwanda. Pongezi awamu ya tano ya viwanda na uchumi wa kati.Akitoka hapo aanze ziara za nchi nzima kuzindua viwanda 100@mkoa, vilivyojengwa kwenye awamu hii ya Tanzania ya viwanda. Hii itasaidia wale watanzania 12.5m wa kura za kwenye mabeg wawe na uhakika wa ajira.
Cha ajabu Kakoko ndio kapewa kazi ya kuunda tume ichunguze upotevu wa hela za bandari hahahaa!
Wakati mwingine nikimsikiliza waziri mkuu nabaki kuwaza mambo mengi sana.
Hela imepotea kwenye ofisi yangu halafu mimi mwenye ofisi niunde tume ichunguze.
Uchawi upo
The best CAG in Tanzania and world-wide.Prof Assad tutakukumbuka,
Sawa sawa mkuu;Wakati umefika wateuliwe watu kutoka humu jf
Maana wanajua sana
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Dr. Ludovic Uttoh alifanya kazi nzuri sana piaThe best CAG in Tanzania and world-wide.
Hawi permanently attached anakwenda kwa jukumu hilo tu ambalo lina muda akimaliza anaondoka.Tatizo na wao wanageuka sehemu ya tatizo, njaa mbaya boss
Tatizo ni mfumo!