..............jamani na taka kuuliza kuwa hawa misukule walirudia hali yao ya binadamu wa kawaida au walibaki misukulee? Je walirudi kwenye familia zao au mchungaji aliondaka nao?..inafaa tuwe makini sana na wachungaji siku hizi maana hata neno la mungu linatutahadharisha kuhusu manabii wa uongo.....binadamu kila kukicha tunazidi kupata mbinu za kuyakabili maisha..
Inafikia hatua ya kujigeuza miungu watu sasa..
Kwa kujipa uwezo wa kuwafufua binadamu waliokufa siku za nyuma,
ndugu zangu haswa wakristo na wafuasi wa gwajima (ufufuo na uzima) kuweni makini sana na maigizo mnayofanyiwa!
Hakuna binadamu yoyote mwenye uwezo wa kumrudishia uhai mtu aliyekufa..
Hili alifanya yesu peke yake tena mara chache sana!!
Tutakoseshwa mbingu kwa kudanganyika na kumezeshwa imani zisizoendana na mapenzi ya mungu..