Ufufuaji wa Misukule: Ina tofauti gani na Maigizo?

Ufufuaji wa Misukule: Ina tofauti gani na Maigizo?

binadamu kila kukicha tunazidi kupata mbinu za kuyakabili maisha..
Inafikia hatua ya kujigeuza miungu watu sasa..

Kwa kujipa uwezo wa kuwafufua binadamu waliokufa siku za nyuma,
ndugu zangu haswa wakristo na wafuasi wa gwajima (ufufuo na uzima) kuweni makini sana na maigizo mnayofanyiwa!

Hakuna binadamu yoyote mwenye uwezo wa kumrudishia uhai mtu aliyekufa..
Hili alifanya yesu peke yake tena mara chache sana!!

Tutakoseshwa mbingu kwa kudanganyika na kumezeshwa imani zisizoendana na mapenzi ya mungu..
..............jamani na taka kuuliza kuwa hawa misukule walirudia hali yao ya binadamu wa kawaida au walibaki misukulee? Je walirudi kwenye familia zao au mchungaji aliondaka nao?..inafaa tuwe makini sana na wachungaji siku hizi maana hata neno la mungu linatutahadharisha kuhusu manabii wa uongo.....
 
NAMPENDA JESUS, YEYE ALIKUWA AKIMFUFUA MTU ANAWAMBIA NI SIRI MSIMWAMBIE YOYOTE,,,,LAKINI SIKU HIZI NINA SHAKA SANA NA HUU MTINDO WA KUPELEKA KTK VYOMBO VYA HABARI,,NAHISI WANAFANYA MARKETING ..................
:faint2:
 
Mkuu wangu,

Kwanza Fahamu Biblia iliandikwa miaka mingi baada ya YESU kupaa mbinguni na walioandika waliandika kwa msaada wa Roho Mtakatifu.Pia kusudio kuu la kuandikwa kwa Biblia ni kuamsha imani tu na si kuandika historia ya YESU.Kuna mengi sana hayakuandikwa lakini si sahihi kusema watu wafanye yale aliyofanya YESU tu utadhani matendo yote ya YESU toka kuzaliwa yalirekodiwa kwenye video!

Ndio maana leo Kanisa inabidi kutoa ufafanuzi wa baadhi ya vitu vinavyoibuka nyakati hizi kama vile Arbotion katika mazingira fulani iruhusiwe au ikatazwe.Hivyo issue kutoshughulikiwa na YESU haiwezi kuwa hoja ya kutoshughulikia sasa.

Lakini pia kwanini tuchague mambo ya kichawi ya kuyashughulikia? Hatukuambiwa na Biblia uchawi gani ushughulikiwe na upi uachwe!! Na shetani anakuja na mbinu mpya kila siku hivyo YESU pia kupitia Roho Mtakatifu anatupa mbinu kila siku!

Wewe hufurahi kama kweli kuna watu waliokuwa misukule wamerudi kwa jina la YESU? kama YESU asingependa wasingerudi kwa Mamlaka ya jina lake.Kama wamerudi kwa Mamlaka ya jina la YESU utukufu ni wake na sisi tufurahie Utukufu wake!!

Nimefurahi kwa ufafanusi na maelezo yako. Nikiri nimebarikiwa nayo kwani kuna jambo limeongezeka katika ufahamu wangu ninapoendelea kutafakari neno la Mungu kwa kuuomba msaada wa Roho Mtakatifu.

Ila maadamu Yesu mwenyewe aliamua kuweka mkazo kuwa watakaju kwa jina langu na mtawajua kwa matendo yao basi hatuna budi kumuomba huyu Yesu mwenye atupe ufahamu na uwezo wa kutambua ni miujiza na matendo yapi yanayo fanywa kwa jina lake bali hayana kibali chake, yana kibali cha manabii wa uongo, maana hili la maanabii wa uongo kulitumia jina la Yesu halina ubishi lilitabiriwa na Yesu mwenyewe.
 
..............jamani na taka kuuliza kuwa hawa misukule walirudia hali yao ya binadamu wa kawaida au walibaki misukulee? Je walirudi kwenye familia zao au mchungaji aliondaka nao?..inafaa tuwe makini sana na wachungaji siku hizi maana hata neno la mungu linatutahadharisha kuhusu manabii wa uongo.....

Amen umenena, shetani anahila bwana. Hebu fikiri Adam na Hawa kwenye bustani ya eden. Kwa amiri ya Mungu mwenyewe usile, lakini shetani alimlaghai Hawa, Hawa akamshawishi Adam. Itakuwa sisi wa kizazi cha dot.com. Ni kwa neema tu, Mungu tunakuomba utupiganie.
 
NAMPENDA JESUS, YEYE ALIKUWA AKIMFUFUA MTU ANAWAMBIA NI SIRI MSIMWAMBIE YOYOTE,,,,LAKINI SIKU HIZI NINA SHAKA SANA NA HUU MTINDO WA KUPELEKA KTK VYOMBO VYA HABARI,,NAHISI WANAFANYA MARKETING ..................
:faint2:

Kwa huu mdahalo unavyoendelea hapa, mpendwa usishangae kuambiwa wakati wa Yesu kulikuwa hamna Tv.

Niseme tu nataka nimjue Yesu, ni jue neno lake, Upendo wake na Wokovu wake.
 
..............jamani na taka kuuliza kuwa hawa misukule walirudia hali yao ya binadamu wa kawaida au walibaki misukulee? Je walirudi kwenye familia zao au mchungaji aliondaka nao?..inafaa tuwe makini sana na wachungaji siku hizi maana hata neno la mungu linatutahadharisha kuhusu manabii wa uongo.....

Hakuna misukule hata mmoja aliyedhibitika kurudia katika hali yake ya kawaida!

na mbaya zaidi hao misukule hawana hata origin
 
Mjinga ni nani anaye sema uongo kusema kuwa mkutano wa Injili umeanza Moshi, wakati mkutano haujanza hadi mwisho wa wiki ?

Kumbuka hiki ni kipindi kigumu kwa kwa wafuga misukule na wachawi nchini Tanzania, ni LAZIMA mtaumbuka tu kelele na matusi hazitasidia.

wewe huna tofauti na wanao waua Albino ili watajirike !..........:frusty:
 
Kwa huu mdahalo unavyoendelea hapa, mpendwa usishangae kuambiwa wakati wa Yesu kulikuwa hamna Tv.

Niseme tu nataka nimjue Yesu, ni jue neno lake, Upendo wake na Wokovu wake.

Teknolojia ya tv siyo ya siku nyingi sana
 
Ni bora tujue basi hao misukule wamerudi kwenye familia zao?na next sunday tuwaone wakihudhuria misa wao na family zao ili watu wawe na uhakika kwamba huo haukua usanii.
 
Kuna jamaa mmoja aliniuluza mbona wale wanaodondoka wakisafiri na ungo hakuna anayedondokea kichwa. Mpaka leo bado natafuta jibu.
 
halafu kwa hali ya kawaida tu haiwezekani mtu aliyekufa zamani kiasi hicho afufuliwe bana,tunakumbuka yesu alimfufua lazaro siku ya tatu tena alikuwa tayari ananuka,tunakumbuka elisha alimfufua mtoto wa mwanamke mshunami tena baada ya siku tatu tu,hapo sciense inataka kutueleza alikufa kwa muda mrefu mwili wake hauwezi kurejea kwa sababu utakuwa umekosa chakula kwa muda mrefu,tuache utani kwenye mambo ya Mungu jamani

Sitetei hayo unayopinga ila naona unapungukiwa mashiko ya hoja, mtu kufufuka sio lazima awe amekufa mda mfupi uliopita na hakuna sayansi inayozungumzia ufufuo ndugu, ni imani tu
 
Sitetei hayo unayopinga ila naona unapungukiwa mashiko ya hoja, mtu kufufuka sio lazima awe amekufa mda mfupi uliopita na hakuna sayansi inayozungumzia ufufuo ndugu, ni imani tu

Mwili uliokufa hauozi?
 
Ni vizuri kabla hatujahukumu watu wafanye homework yao. Si tuna waandishi wa habari humu akina Mathias Byabato Fred Katulanda ? Kwa nini wasiende kuwahoji hao watu na kufanya uchunguzi kujua ukweli wa claims? Uzuri wa Ukristo mambo yanafanyika hadharani na unaweza kuchunguza na kuujua ukweli refer miujiza na kufufka kwa Yesu, miujiza ya mitume et al. Kila kitu kilikuwa public.

Hapo tutakuwa na jibu la uhakika lisilo na shaka Mungi
 
Last edited by a moderator:

Utakutana na visingizio lukuki mkuu kwenda kuwahoji misukule..
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hakuna mtu mwenye uwezo wa kumrudisha mtu aliyekufa, ila msukule sio mtu aliyekufa.
WATU ZAIDI YA 20
WARUDISHWA
KUTOKA KWENYE
MISUKULE HUKO
ARUSHA KWENYE
MKUTANO WA MCH. GWAJIMA. Habari inatoka Gospel Media News
 
Ugumu wa maisha umetufanya Wakristo tuonekane kama mapunguani/hamnazo.

Mkuu mimi sitaki kuamini kama ni ugumu wa maisha tu ila pia na ubinafsi na zaidi kutomtii Mungu katika amri zake maana kuna sehemu zinasema usidanganye,mimi ni Mkristo ila napinga kabisa huu udanganyifu unaofanywa na hawa wanaojiita mitume.......jamaa wananikera sana......
 
Back
Top Bottom