Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
5000 ni affordableHapo morogoro mikumi mkabala na Tiger hotel kuna Jamaa anafuga nyoka na Mamba kiingilio 5000
Na anapata watu sana
Usipende kutoa comment kuponda kitu kama huna experience nacho.
Mkuu hivi mbuzi wanaopacha 3 na 4 urahisi wake wa kupatikana upoje?Habari za leo kwanza naomba utambue kila mlaji ana uchaguzi wake wa Mbuzi saizi gani anamfaa kwa matumizi yake aliyoyapangilia. Mbuzi akisha fikisha umri wa miezi 4 kwenda mbele huyo anaweza kufaa kwa matumizi ya kuliwa, kuhusu hawa Mbuzi wetu wa kienyeji ukuwaji wao ni watatratibu sana na ndio maana kwa sasa tunashauriwa sana kuanza kuchanganya mbegu na hawa Mbuzi wa kutoka mataifa ya nnje. Mfano Isiolo/Galla. Boer,Red kalahare, Savanaha, nk.
Kwa majike tunashauri sana utumie wenye maumbo makubwa, Mubende hawa wanapatikana Karagwe,Biharamulo,Bukoba na Uganda. Buha hawa wanapatikana Kigoma zaidi. Na pia ukipata Mbuzi wanaopatikana ukanda wa usukumani, na kwenye mashamba ya uzalishaji wa Mbuzi Taliri,Mpwapwa,Tanga nas kwengineko. Huko utapata Blended, Gogo white,Newala nk. Karibu sana ktk ufugaji wa Mbuzi.
Kwakweli kuhusu kuzaa mapacha na zaidi ya hapo kwanza inategemeana na ukoo na matunzo mazuri kwa mnyama. kuhusu heka 20 nafikiri ukilikata vyema sehemu za malisho, Mbuzi 50 wanatosha kwa heka 20, kwa uelewa wangu.Mkuu hivi mbuzi wanaopacha 3 na 4 urahisi wake wa kupatikana upoje?
Je heka 20 naweza fuga mbuzi wangapi?
Habari za leo kwanza naomba utambue kila mlaji ana uchaguzi wake wa Mbuzi saizi gani anamfaa kwa matumizi yake aliyoyapangilia. Mbuzi akisha fikisha umri wa miezi 4 kwenda mbele huyo anaweza kufaa kwa matumizi ya kuliwa, kuhusu hawa Mbuzi wetu wa kienyeji ukuwaji wao ni watatratibu sana na ndio maana kwa sasa tunashauriwa sana kuanza kuchanganya mbegu na hawa Mbuzi wa kutoka mataifa ya nnje. Mfano Isiolo/Galla. Boer,Red kalahare, Savanaha, nk.
Kwa majike tunashauri sana utumie wenye maumbo makubwa, Mubende hawa wanapatikana Karagwe,Biharamulo,Bukoba na Uganda. Buha hawa wanapatikana Kigoma zaidi. Na pia ukipata Mbuzi wanaopatikana ukanda wa usukumani, na kwenye mashamba ya uzalishaji wa Mbuzi Taliri,Mpwapwa,Tanga nas kwengineko. Huko utapata Blended, Gogo white,Newala nk. Karibu sana ktk ufugaji wa Mbuzi.
Kwa Watson mbuzi 2 kwa heka,Kwakweli kuhusu kuzaa mapacha na zaidi ya hapo kwanza inategemeana na ukoo na matunzo mazuri kwa mnyama. kuhusu heka 20 nafikiri ukilikata vyema sehemu za malisho, Mbuzi 50 wanatosha kwa heka 20, kwa uelewa wangu.
Duh,
Kwamba hao Boer Wana mikuyenge mikubwa Sana kiasi inazidi size ya mbususu za mbuzi wa asili?[emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu nakushauri umshirikishe vet kwa kuwa hapo nacho amini ni labda ulikosea hesabu na ndio maana naomba umshirikishe vet ili aweze kukusaidia kitaalamu zaidi.Naomba ushauri wandugu, nina mbuzi wangu wa maziwa. Alipandwa na dume mwaka jana tarehe 15 mwezi wa 12. Ana mimba kubwa sana sana lakini hadi sasa hivi bado hajazaa. Tumbo limeshuka, maziwa yamejaa lakini hazai yaani huu mwezi ukiisha anatimiza miezi sita na nusu.
Hii imekaaje wafugaji wenzangu?? Je imewahi kuwatokea na nyie?
Cc JokaKuu , MUBENDE wakaliwetu nk
Aina ya mbuzi nilionao ni saanen
Ndugu samahani naomba kujuwa uko mkoa gani? tunaomba ukifanikiwa utupe mrejesho.Naomba ushauri wandugu, nina mbuzi wangu wa maziwa. Alipandwa na dume mwaka jana tarehe 15 mwezi wa 12. Ana mimba kubwa sana sana lakini hadi sasa hivi bado hajazaa. Tumbo limeshuka, maziwa yamejaa lakini hazai yaani huu mwezi ukiisha anatimiza miezi sita na nusu.
Hii imekaaje wafugaji wenzangu?? Je imewahi kuwatokea na nyie?
Cc JokaKuu , MUBENDE wakaliwetu nk
Aina ya mbuzi nilionao ni saanen
Pole kwa changamoto hiyo,mshirikishe daktari wa mifugo kwenye eneo lako kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu zaidi!Ukifanikiwa tupe mrejesho.Naomba ushauri wandugu, nina mbuzi wangu wa maziwa. Alipandwa na dume mwaka jana tarehe 15 mwezi wa 12. Ana mimba kubwa sana sana lakini hadi sasa hivi bado hajazaa. Tumbo limeshuka, maziwa yamejaa lakini hazai yaani huu mwezi ukiisha anatimiza miezi sita na nusu.
Hii imekaaje wafugaji wenzangu?? Je imewahi kuwatokea na nyie?
Cc JokaKuu , MUBENDE wakaliwetu nk
Aina ya mbuzi nilionao ni saanen
Nipo Morogoro mjini sehemu inaitwa Kiegea. Ni mfugaji mchanga bado hivyo najifunza kutoka kwenu wakongwe.Ndugu samahani naomba kujuwa uko mkoa gani? tunaomba ukifanikiwa utupe mrejesho.
Karibu sana ktk ufugaji.Nipo Morogoro mjini sehemu inaitwa Kiegea. Ni mfugaji mchanga bado hivyo najifunza kutoka kwenu wakongwe.
Barikiwa sana ndugu, Mungu akujaalie usfanikiwe upate wajukuu wakutosha.Nawashukuru wote, nilimuita dr wa mifugo. Mbuzi yupo vizuri ana mimba ila muda wake bado. Alichosema itakuwa niliuziwa mbuzi ambaye hana mimba, ila mimba hii kaipatia hapa kwangu maana nilikuwa nalo dume la mbuzi kabla. Hivyo itakuwa alipandwa hapa hapa.
Tuna mshukuru Mungu foleni imekamata huku mbagala vibaya sana.Sabasaba inaendaje huko? Tunaomba mliohudhuria basi
Update bossTuna mshukuru Mungu foleni imekamata huku mbagala vibaya sana.
Mkuu nitakutembelea siku 1! Na wewe karibu Msowero tufanye kuSHARE uzoefuNipo Morogoro mjini sehemu inaitwa Kiegea. Ni mfugaji mchanga bado hivyo najifunza kutoka kwenu wakongwe.